Dr. Mwele Malecela naye hafai...!

- Haya ni majungu sana tena at best, Hela za Bill Gates zilitaka kuwafanya watu pale NMR kumuuua Dr. Mwele mpaka kumtumia majambazi kisa wanashindwa kuiba kwa sababu anawapeleka wananchi walengwa na ule mchango, sasa kama Katibu amehamisha hela NMR ni makosa ya Dr. Mwele akiwa msaidizi tu it does not make a sense, Ninasema ndio maana hili taifa Wataalamu hukimbia maaana hurushiwa majungu tu bila sababu, wewe huyu Mwele anaitwa na Wazungu Majuu kwa ajili ya masaa tu kuwafundisha madarasani mwao, sasa ungetegemea taifa ndio lifaidike zaidi na ujuzi wake, lakini inakwua majungu majungu tu!

- Sasa here comes Ukatibu Mkuu, unasema hafai kulinganisha nani mkuu? Hebu tuwekee hapa Katibu mkuu bongo anayefaa maana any academician anapoandika on the lines za fulani hafai anatakwia kwueka anayefaaa au aliyewahi kufaaa, tunasema Marais wengi waliofuata baada ya Mwalimu hawalingani naye kwani alikuwa the Greatest, sasa mkuu weka hapa Dr. Mwele hafai kua Katibu mkuu as opposed to nani anayefaaa?

Le Baharia Mutuz Big Shoooow!

Damu Nzito eeh?? Karoho kanakudunda..kama nakuona..vp msafara wako vijijini umeishia wapi?? naona unakula bata tu na leo hilo bonanza la serengeti litakukoma..naona fujo zako facebook..una stress kama mwanaasha kikwete aliepata Div 4! ha ha JF Rahaa!!
 
Yule mama blind ana washikaji wake kawapanda katika idara nyeti, na ndio anakula nao mapesa ya kazi za afya.
Pelelezeni TISS, na hata TFDA aliyekuwa mkuu TFDA alipoingia tu Nyonyoa,walipishana naye yule mama akaamua kuondoka.Baada ya mama kuondoka kamuweka mtu wake wa damu.
Huyu mama Nyoni ana ukabila, mkubwa sana na makundi. Mwele ni rafiki yake mkubwa, wa kuchora madili.
Pesa za kazi za wizara, huzishikilia muda unapokaribia kuisha anazihamishia kwao kwenda kuzichota. Watu maofisini wamekaa tuu, MIPANGO YA KAZI ILIYOWEKWA HAITEKELEZEKI, KISA HAKUNA MAFUNGU, KUMBE NYONYOA ANAZIFUKIA TUMBONI.
Huyu Mama Nyonyoa na makundi yake wanatakiwa wafukuzwe KAZI NA KWENDA JEAL KIFUNGO CHA MAISHA IWE FUNDISHO KWA WATENDAJI WENGINE.

Ngoja niende short call I will be right back
 
- Haya ni majungu sana tena at best, Hela za Bill Gates zilitaka kuwafanya watu pale NMR kumuuua Dr. Mwele mpaka kumtumia majambazi kisa wanashindwa kuiba kwa sababu anawapeleka wananchi walengwa na ule mchango, sasa kama Katibu amehamisha hela NMR ni makosa ya Dr. Mwele akiwa msaidizi tu it does not make a sense, Ninasema ndio maana hili taifa Wataalamu hukimbia maaana hurushiwa majungu tu bila sababu, wewe huyu Mwele anaitwa na Wazungu Majuu kwa ajili ya masaa tu kuwafundisha madarasani mwao, sasa ungetegemea taifa ndio lifaidike zaidi na ujuzi wake, lakini inakwua majungu majungu tu!

- Sasa here comes Ukatibu Mkuu, unasema hafai kulinganisha nani mkuu? Hebu tuwekee hapa Katibu mkuu bongo anayefaa maana any academician anapoandika on the lines za fulani hafai anatakwia kwueka anayefaaa au aliyewahi kufaaa, tunasema Marais wengi waliofuata baada ya Mwalimu hawalingani naye kwani alikuwa the Greatest, sasa mkuu weka hapa Dr. Mwele hafai kua Katibu mkuu as opposed to nani anayefaaa?

Le Baharia Mutuz Big Shoooow!

Point mkuu
 
Le baharia, hivi kweli mtu serious ataandamana na genge la Mange, mabinti wa mujini? kwa nafasi yake ? Nauliza tu
Rio%2B2.JPG
 
Huyu Mwele ni daktari. Tafadhali afanye kazi za kutibu watu na sio za utawala pale wizarani. Mbona mnataka kugawana nafasi ZOTE za juu kwa watoto wa vigogo? Imekuwa kazi za kurithishana hizi. Please propose someone else.
 
- Haya ni majungu sana tena at best, Hela za Bill Gates zilitaka kuwafanya watu pale NMR kumuuua Dr. Mwele mpaka Ninasema ndio makumtumia majambazi kisa wanashindwa kuiba kwa sababu anawapeleka wananchi walengwa na ule mchango, sasa kama Katibu amehamisha hela NMR ni makosa ya Dr. Mwele akiwa msaidizi tu it does not make a sense, ana hili taifa Wataalamu hukimbia maaana hurushiwa majungu tu bila sababu, wewe huyu Mwele anaitwa na Wazungu Majuu kwa ajili ya masaa tu kuwafundisha madarasani mwao, sasa ungetegemea taifa ndio lifaidike zaidi na ujuzi wake, lakini inakwua majungu majungu tu!

- Sasa here comes Ukatibu Mkuu, unasema hafai kulinganisha nani mkuu? Hebu tuwekee hapa Katibu mkuu bongo anayefaa maana any academician anapoandika on the lines za fulani hafai anatakwia kwueka anayefaaa au aliyewahi kufaaa, tunasema Marais wengi waliofuata baada ya Mwalimu hawalingani naye kwani alikuwa the Greatest, sasa mkuu weka hapa Dr. Mwele hafai kua Katibu mkuu as opposed to nani anayefaaa?

Le Baharia Mutuz Big Shoooow!

Hapo umenena
 
Kinyume na wengi mnavyotaka kuaminishwa na kampeni za chini kwa chini kuwa huyu bini mtoto wa Malecela anafaa awe katibu mkuu na baadae awe waziri wa Afya. Ukweli ni kwamba Dr Mwele na Blandina Nyoni ni sawa na samaki na maji.

Tumbiri katuletea nyeti hii juu ya Blandina Nyoni:(Mwishoni mwa mwaka wa fedha 2009/2010 alihamisha kiasi cha Shilingi 1,968,475,931 mali ya Wizara ya Afya kwenda National Institute for Medical Research (NIMR) bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizi zilikuja kuhojiwa na CAG katika ripoti yake ya serikali kuu ya mwaka 2009/2010)

Zaidi soma hapa:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/221725-ufisadi-wa-blandina-nyoni-huu-hapa.html

Lakini ukitaka kujua namna gani Dr Mwele alivyoshindwa kazi soma hii article kwenye gazeti la Guardian la UKSasa jiulizeni kama ma bilioni ya pesa yanapotea under her watch yeye kama "msomi" kweli atayaweza mikiki mikiki ya ukatibu mkuu?

Drugs worth millions go missing in Tanzania
NIMR haitunzi dawa isipokuwa investigational medicinal product (IMP) hivyo nukuu yako si ya kweli.
Ubovu upo medical stores na pia pamekuwa uuzaji dawa za TB na ARV zimekuwa zikiuzwa nje ya nchi katika nchi kama msumbiji na Kenya (usiniulize ushahidi).
Kumhusisha Mwele na hilo ni kutokumtendea haki.
 
Huyu Mwele ni daktari. Tafadhali afanye kazi za kutibu watu na sio za utawala pale wizarani. Mbona mnataka kugawana nafasi ZOTE za juu kwa watoto wa vigogo? Imekuwa kazi za kurithishana hizi. Please propose someone else.

Ni kama Mponda, another PhD. Sio MD au DDS.
 
Hapo alipotoka Blandina panamfaa Dr Ayub Magimba, huyu jamasa CV yaka safi na ana experience. Ni MD then ana MBA ya ESAMI na exposure kubwa
 
Kinyume na wengi mnavyotaka kuaminishwa na kampeni za chini kwa chini kuwa huyu bini mtoto wa Malecela anafaa awe katibu mkuu na baadae awe waziri wa Afya. Ukweli ni kwamba Dr Mwele na Blandina Nyoni ni sawa na samaki na maji.

Tumbiri katuletea nyeti hii juu ya Blandina Nyoni:(Mwishoni mwa mwaka wa fedha 2009/2010 alihamisha kiasi cha Shilingi 1,968,475,931 mali ya Wizara ya Afya kwenda National Institute for Medical Research (NIMR) bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizi zilikuja kuhojiwa na CAG katika ripoti yake ya serikali kuu ya mwaka 2009/2010)

Zaidi soma hapa:Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

Lakini ukitaka kujua namna gani Dr Mwele alivyoshindwa kazi soma hii article kwenye gazeti la Guardian la UKSasa jiulizeni kama ma bilioni ya pesa yanapotea under her watch yeye kama "msomi" kweli atayaweza mikiki mikiki ya ukatibu mkuu?

Drugs worth millions go missing in Tanzania
Mkuu dua lako limekubaliwa
 
- Haya ni majungu sana tena at best, Hela za Bill Gates zilitaka kuwafanya watu pale NMR kumuuua Dr. Mwele mpaka kumtumia majambazi kisa wanashindwa kuiba kwa sababu anawapeleka wananchi walengwa na ule mchango, sasa kama Katibu amehamisha hela NMR ni makosa ya Dr. Mwele akiwa msaidizi tu it does not make a sense, Ninasema ndio maana hili taifa Wataalamu hukimbia maaana hurushiwa majungu tu bila sababu, wewe huyu Mwele anaitwa na Wazungu Majuu kwa ajili ya masaa tu kuwafundisha madarasani mwao, sasa ungetegemea taifa ndio lifaidike zaidi na ujuzi wake, lakini inakwua majungu majungu tu!

- Sasa here comes Ukatibu Mkuu, unasema hafai kulinganisha nani mkuu? Hebu tuwekee hapa Katibu mkuu bongo anayefaa maana any academician anapoandika on the lines za fulani hafai anatakwia kwueka anayefaaa au aliyewahi kufaaa, tunasema Marais wengi waliofuata baada ya Mwalimu hawalingani naye kwani alikuwa the Greatest, sasa mkuu weka hapa Dr. Mwele hafai kua Katibu mkuu as opposed to nani anayefaaa?

Le Baharia Mutuz Big Shoooow!
Le Mutuz, hebu njoo umtetee Dada
 
Hahahahha
Le Mutuzi, Le jinga,
Naona watu wanapekua makaburi...
Aisee hii nchi hatari..
 
Naumia nikiona wanataka JF waipoteze nitapata wap madini kama haya

-le Mutuz akili kubwazz njoo tujadili hili
 
Back
Top Bottom