Dr Mwele Malecela naye HAFAI............! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Mwele Malecela naye HAFAI............!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Feb 9, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kinyume na wengi mnavyotaka kuaminishwa na kampeni za chini kwa chini kuwa huyu bini mtoto wa Malecela anafaa awe katibu mkuu na baadae awe waziri wa Afya. Ukweli ni kwamba Dr Mwele na Blandina Nyoni ni sawa na samaki na maji.

  Tumbiri katuletea nyeti hii juu ya Blandina Nyoni:(Mwishoni mwa mwaka wa fedha 2009/2010 alihamisha kiasi cha Shilingi 1,968,475,931 mali ya Wizara ya Afya kwenda National Institute for Medical Research (NIMR) bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizi zilikuja kuhojiwa na CAG katika ripoti yake ya serikali kuu ya mwaka 2009/2010)

  Zaidi soma hapa:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/221725-ufisadi-wa-blandina-nyoni-huu-hapa.html

  Lakini ukitaka kujua namna gani Dr Mwele alivyoshindwa kazi soma hii article kwenye gazeti la Guardian la UKSasa jiulizeni kama ma bilioni ya pesa yanapotea under her watch yeye kama "msomi" kweli atayaweza mikiki mikiki ya ukatibu mkuu?  Drugs worth millions go missing in Tanzania
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  sas anani anafaa? kweli TZ watu ni wezi sana
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tanzania tumeshakuwa mzigo usiobebeka.
   
 4. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa unayosema hafai,NIMR pamemshinda tangu Dr Kitua astaafu hali ya NIMR ni mbaya scientist wanakimbia,anapenda makundi
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Wewe unamchukia tu, Kitua amefanya nini. Unakumbuka kilichotokea kwenye fedha ya PEPFAR mikononi mwa Kitua. Mwele kaja juzi leo hii unamsema kaiharibu NIMR. Kuwa mkweli, Mungu anakuona. Walioondoka wanatafuta green pastures na si kwa vile Mwele kashindwa. After all waliondoka Kitua akiwa Director General. Kuwa Mkweli!!!!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mwaka gani ule alijifanya kuosha miguu ya mzee mmoja ulioota matende pale uwanja wa mnazi mmoja? Kumbe ilikuwa janja ya nyani!
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Songo mbingo hiyo hivi mbona umbeya umezidi hapa sio huyu ambaye anamchango pia mpaka NIMR ikajengwa
   
 8. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani sasa jamani katika serikali hii aliye msafi kuweza kuaminiwa?
   
 9. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Watanzania wenye uwezo wapo tatizo ni siasa,watawala wanateua watu kwa kuangalia ukereketwa na utii kwa CCM.
   
 10. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi wewe unajua unachoongea au umetumwa kuja kumchafua Dr. Mwela?! JF sasa imekuwa ya majungu.

  Hayo madawa ARVs zinazosemwa na gazeti la the gurdian yalipotea/kuharibika yakiwa under Medical Store Departments (MSD) not National Institute for Medical Research (NIMR). NIMR haijawahi kutuza na wala haitunzi madawa ya serikali. Put your facts correct before making your unfounded allegation.
   
 11. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mfumo mbovu huzaa viongozi wabovu.
   
 12. s

  shykwanza Senior Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wizara ya afya isiwe na katibu mkuu basi kama kila mtu serikalini mwizi tuone kama mambo hayataenda
   
 13. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe in a sense; kama kuna waziri na naibu waziri sijui katibu anahitajika kufanya nini ukizingatia kuna ukasi wa fedha. Lakini pia kama position hiyo ni muhimu sana then, ni wakati wa anayeteua kuacha kufanya- recycling ya viongozi; kuna watanzania wengi tu (hata uko mikoani) wana qualify kwenye hiyo position.
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kuwa ufisadi ndani ya NIMR uliokuwa unafanyanyika chini ya Dr Mwele na haiwezekani akaendelea kukaa pale wakati kuna wingo zito la ufisadi likimuelemea
   
 15. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  kwa Muundo wa serekali ya na chama tawala ni ngumu saana kuwajibishana

  Huyu dada hawezi kuondolewa na hata akiondolewa atapelekwa sehemu nyingine aendelee na ulaji as long as CCM wako Madarakani, kuna kila taasisi, idara, na mashirika ya umma kuna wizi wa kupindukia na serekali inalifahamu hilo ila nani amshikie kengele mwenziwe

  Hata aliyofanya pinda jana, huyo Katibu Mkuu anafahamika ni mtata tangu Maliasili, kama serekali ingekuwa sikivu walitakiwa huyu mama asipewe tena wizara lakini kutokana na maslahi ya wachache alipewa ulaji

  Cha msingi ni kubadilisha mfumo tu, ni vema tujifunze kwa wenzetu Wakenya kipindi cha KANU kuna baadhi ya watu walikuwa na viserekali vyao ndani ya serekali kwa sababu tu walikuwa wanalindwa na kulindana, KANU ilipolalia pua watu sasa wanalia na kusaga meno

  Naamini siku moja hata hapa kwetu itatokea hivyo
   
 16. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Zile fedha anazouliza CAG zipatazo Tsh 1.9 Bilioni ambazo zikihamishwa wizara ya afya kwenda NIMR ndizo Blandina Nyoni alizotumia kujenga lile banda pale Nzughuni Dodoma kwa ajili ya maonyesho ya Nane Nane. Blandina alizichangisha na taasisi zote zilizo chini ya wizara ya afya kwa mtindo wa "Jairo" na fedha hizo zikapelekwa akaunti ya NIMR na baada ya hapo wakamtafuta mkandarasi wao bila taratibu za manunuzi ya umma na wakampa ile kazi ya ujenzi. Lile jengo pale Nzughuni halihitaji Quantity Surveyor wala Mhandisi kujua kuwa thamani yake haizidi Ths Milioni 500. Lakini kwenye kumbukumbu za malipo zikizopo NIMR inaonyesha limejengwa kawa Bilioni 3. Nawapa TISS mahali pa kuanzia musijesema tumewanyima ushirikiano
   
 17. G

  GOLIGOTHA New Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yule mama blind ana washikaji wake kawapanda katika idara nyeti, na ndio anakula nao mapesa ya kazi za afya.
  Pelelezeni TISS, na hata TFDA aliyekuwa mkuu TFDA alipoingia tu Nyonyoa,walipishana naye yule mama akaamua kuondoka.Baada ya mama kuondoka kamuweka mtu wake wa damu.
  Huyu mama Nyoni ana ukabila, mkubwa sana na makundi. Mwele ni rafiki yake mkubwa, wa kuchora madili.
  Pesa za kazi za wizara, huzishikilia muda unapokaribia kuisha anazihamishia kwao kwenda kuzichota. Watu maofisini wamekaa tuu, MIPANGO YA KAZI ILIYOWEKWA HAITEKELEZEKI, KISA HAKUNA MAFUNGU, KUMBE NYONYOA ANAZIFUKIA TUMBONI.
  Huyu Mama Nyonyoa na makundi yake wanatakiwa wafukuzwe KAZI NA KWENDA JEAL KIFUNGO CHA MAISHA IWE FUNDISHO KWA WATENDAJI WENGINE.
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  TEHETEHE basi kila mtu mwizi huko serikalini
   
 19. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Haya ni majungu sana tena at best, Hela za Bill Gates zilitaka kuwafanya watu pale NMR kumuuua Dr. Mwele mpaka kumtumia majambazi kisa wanashindwa kuiba kwa sababu anawapeleka wananchi walengwa na ule mchango, sasa kama Katibu amehamisha hela NMR ni makosa ya Dr. Mwele akiwa msaidizi tu it does not make a sense, Ninasema ndio maana hili taifa Wataalamu hukimbia maaana hurushiwa majungu tu bila sababu, wewe huyu Mwele anaitwa na Wazungu Majuu kwa ajili ya masaa tu kuwafundisha madarasani mwao, sasa ungetegemea taifa ndio lifaidike zaidi na ujuzi wake, lakini inakwua majungu majungu tu!

  - Sasa here comes Ukatibu Mkuu, unasema hafai kulinganisha nani mkuu? Hebu tuwekee hapa Katibu mkuu bongo anayefaa maana any academician anapoandika on the lines za fulani hafai anatakwia kwueka anayefaaa au aliyewahi kufaaa, tunasema Marais wengi waliofuata baada ya Mwalimu hawalingani naye kwani alikuwa the Greatest, sasa mkuu weka hapa Dr. Mwele hafai kua Katibu mkuu as opposed to nani anayefaaa?


  Le Baharia Mutuz Big Shoooow!
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Le Baharia Mutuz Big Shoooow!

  Aiseee hii kitu gani?
   
Loading...