Dr. Mwandulame Amchana Babu wa Loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Mwandulame Amchana Babu wa Loliondo

Discussion in 'JF Doctor' started by Nyenyere, Apr 4, 2011.

 1. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Mganga maarufu wa tiba za asili maarufu kama Dr. Francis Mwandulame wa Iringa amemjia juu babu kwa kitendo chake cha kuwahadaa watanzania kwamba amepewa ufunuo toka kwa Mungu. Gwiji huyo wa mitishamba anayetisha kusini mwa Tanzania amedai kuwa huo mti wa mugariga anaotumia babu yeye mwenyewe ameanza kuutumia kutiba watu maradhi mbalimbali kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Anasema kuwa alioteshwa na marehemu mama yake, na kwamba unapatikana pia huko Iringa. Hivyo amemtaka babu kuacha kuwadanganya watu kuwa mti huo ni ufunuo wa Mungu. Anadai kwa babu wa Loliondo haoni jipya zaidi ya kutangazwa sana na vyombo vya habari.

  Katika hatua nyingine Mwandulame amevishutumu vyombo vya habari na serikali kwa kushiriki kumtangaza mganga wa tiba za kienyeji. Ameyashutumu magazeti, TV na redio kwa kumtangaza babu huku waganga wengine wakitozwa pesa lukuki kwa ajili ya matangazo. Pia ameishukia serikali kwa kuruhusu babu kujitangaza kutibu magonjwa sugu na hata kushiriki kumtangaza wakati waganga wenzake wa jadi wamezuiliwa kufanya hivyo. Ameonya kuwa kama hali itaendelea hivyo itabidi na wao waanze kujitangaza bila kufuata taratibu.

  Source: WAPO Radio - Kipindi cha matukio - 07:15 A.M

  1 Cor 2:2 For I determined not to know any thing among you, save Jesus Christ, and him crucified.
   
 2. digger2002tz

  digger2002tz Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake alofungiwa....
   
 3. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  He anahasira, kwani babu kajitangaza?
  Waliopona ndio walimtangaza
  Hii inaonyesha dhahili kuwa babu amefunika kwa sana..
  Sasa wale waganga waliokuwa wanacharge watu mamilion kwa mngarija wnahaha
  Mh patamu hapo!

  Analoooooo!
   
 4. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Waganga wa kienjeji wamekosa mtu wa kumdaganya ndo maana wana haha pamoja na kina Kakobe. Acheni babu wa watu ajipatie umaarufu, kama ameshindwa kuvutia umma leave babu wa Loliondo alone!!
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bongo si mchezo walianza watumishi wenzake wa Mungu wakashindwa sasa wamekuja waganga wa jadi kupitia vyombo vya habari vya watumishi wa Mungu, hii si mchezo tusubiri tuone mwisho wake:tape:!!!
   
 6. L

  Leliro Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Babu katangazwa au amejitangaza? kumbuka chema chajiuza na kibaya chajitangaza. Tibu watu na watu wakipata ahueni pia utapata msururu wa magari!
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Huyu mganga ana hoja. Nchi ikianza kuwakumbatia waganga wa kienyeji ni hatari tupu! Babu ni sawa na Mwandulame kwa kuwa wote wanatumia miti dawa. Ingekuwa Babu anatumia NENO ningesema imani lakini ndoto na mitishamba duh naogopa. Hiyyo haina tofauti na imani yangu ya mizimu ambayo hutuotesha nanyi kutuita wapagani. Hivi mnaelewa kwamba kuna kauzi kembamba sana kati ya Mungu na Shetani hasa kuhusu mambo ya juoteshwa?
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hana hoja yoyote, soko lake tu limeyumba.
  Kwani yeye anakosa nini kama si kukosa soko?
   
 9. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu hata uwaambie nini hao hawatokuelewa......
   
 10. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ninyi mapepo mshindwe kwa jina la yesu. Mwandulame
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwa kweli kwa hili la serikali kumkumbatia mganga mmoja tu (na karibu baraza zima la mawaziri lilmeishakunywa kikombe), limenisikitisha sana na sasa natambua wazi kuwa ushirikina umejikita sana mioyoni mwa viongozi wetu na wengi wetu

  si kila mtu aniitaye "Bwana", "Bwana" ataurithi ufalme wa Mungu
  bali yeye atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Kalumanzira wa lringa ana gubu
   
 13. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  sasa kama mti aliuju siku nyingi mbona hakuutaja mapema watu wakajisevia, hata hivyo Babu hakutoa matangazo yoyote walioenda mdio waliomtangaza, pia magazeti huabarisha tukio kama haoni kuwa hilo ni tukio basi ana wivu kwa kuwa yeye hutoza zaidi ya elfu ishirini huyu 500 yupi bora , kumbe unajua kuwa mti huu ni dawa basi pole kwa wivu , wewe tangia uponyeshe una laki tatu mwezio millioni 50
   
 14. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280

  ndio utajua bungeni noma viongozi wetu wengi sio wazima, ukisema atakayetaka kugombea ubunge apime afya yake ili tusizidi kupoteza hela kwa chaguzi ndogo hutamwona mtu, ipo haja ya kufanya hivyo
   
 15. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kuna ndugu alisema juzi watanzania wengi ni wagonjwa nikataka kubisha sasa nimeamini kuona kila mganga anafunika kwa wimbi la watu!! tunaenda wapi? kazi kweli kweli
   
 16. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Duh, wale wanaharakati dhidi ya babu wameunganisha nguvu. Baadhi ya
  Wale wanaojiita watumishi wanasema babu hajaoteshwa na Mungu na kalumanzira nao wanasema hajaoteshwa na mungu.
  Hivi kumbe makundi haya yote mawili yanawajibika kwa mungu mmoja? Kama Sivyo basi babu atakuwa kawekwa kati maana sii MUNGU wala mungu anaekubali kumuotesha.
  Kingine cha kujiuliza ni wakulalamikiwa na hawa walalamishi ni babu ama Mungu aliyemwotesha? Maana hakuna muongo yeyote anaeweza kuvuta umati kama wa babu ikiwa hana nguvu za ziada zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu. Maana wenye kuutamani umaarufu kwa njia yoyote ile ni wengi, ila kwa sababu ya usanii ndani mwao hawakufikia malengo ya shauku yao. Ila kwa babu ni tofauti kwani kadri alivyojishusha ndivyo alivyoinuliwa juu.
  .
   
 17. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  mwasapile amepata washabiki wengi kutokakana na kwamba hapo mwanzo hakukuwepo na mtu yeyote alitoka na stahili kama ya kwake ya kwamba kaoteshwa na MUNGU lakini kwangu mimi naona bado ni mazinga ombwe hakuna lolote hata kama nani kaenda kwake, ye na waganga wa kienyeji hakuna utofauti alafu kitu kilichomuinua zaidi ni kwamba dawa yake inatibu ukimwi.dont run from rain and seek for an asylum from the ocean:A S-key:
   
 18. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwisho wake watamua tunaomba serikali impatie ulinzi wa kutosha,najua kuna vipato vya watu vimepungua sana,kuna mwingine amepiga waumini wake marufuku kwenda kwa babu,na wakienda watawafukuza,hivi uhai na kuudhuria kanisani ngali mgongwa lipi jema?
   
 19. f

  fmville New Member

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jambo hili ni gumu halihitaji hukumu ya haraka. Kwa ubinadamu wetu lazima tuweweseke, lakini hebu tuangalie mazingira yake. Dawa ya babu inafahamika kama ni tiba kwa miaka mingi lakini si kwa dose moja kama afanyavyo babu. hii ndio ajabu ambayo haina majibu ya haraka. kwa mcha Mungu yeyote atabariki chakula kabla ya kula hata kikiwa na sumu haitadhuru, biblia inatueleza hivyo. babu anagawa dawa baada ya kuchemsha na kuibariki hatangazi dini kosa ni lipi! shetani anaingiaje hapa? Mungu ni dhaifu kuliko shetani hata ashindwe kusimamisha hili? Mbona wengi wamelaani na hata kufunga ili huduma ikome mbona inazidi kushamiri!!? Waganga wengi toka karne za nyuma kwa asilimia kubwa wameoteshwa hizo tiba je waliinuliwa kama babu? Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Kwa kifupi dawa inahitaji imani mwenye imani anywe nawe usie na imani ukae kimya usije kujikuta unagombana na bosi wako (God)
   
 20. Mwamanda

  Mwamanda Senior Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mwenye wivu ajinyonge.
   
Loading...