huyo jama bado anaumwa tena sana....wakati anatoka tanania aliuwa anatembena nakuongea vizuri tu...msione picha hiyo mkadhani amepta nafuu...bado anaumwa sana....
Mmmmmmh Mwita25 hii lugha hapa umeipatia vizuri!!kwa kweli kama ni shuz hapo limepata mjambaji....
He is just on respite but he can't escape fatal effects of Pollonium. The peculiar feature of radioactive material is their ability to destroy body cells slowly before causing body death. God has acted so deferently to award him hiatus to allow him confess his evils and thereby absolved to have a room in God's kingdom.
Pichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
Hospitali inapendeza hata mgonjwa ukiingia unaanza kupata nafuu kwa mandhari tu..sasa wajenge hosp kama hivi hapa kwetu jamani mbona inawezekna tu?!
Nakuombea kwa mungu upone.
Ukirudi Tanzania upunguze unafiki.WEWE NDO MNAFIKI NA MIMI MAGAMBA SIWAPENDI KANINI LKN KATI YA WATU WAZURI KWENYE MAGAMBA HE IS AMONG
Nakuombea kwa mungu upone.
Ukirudi Tanzania upunguze unafiki.
Duuu !!Kwa kiwango cha madakitari ni lazima magonjwa ya Mwakyembe yapone tu, naimani hata Kambarage kama angekuwa na madikari kama hivi ndio wanamtibu basi tungekuwa nae leo hii