Dr Mwakyembe na kashfa ya misaada Kyela

Mwakyembe will never walk alone.....you just take my word.
 
amba.nkya

Nikifuatilia kwa makini una lako jambo: hilo la misaada/michango ni kisababu tu. Nimetoa ufafanuzi hapo juu!
 
issue sio majungu wala chuki bali kinachotakiwa ni kujitoa kwake mwenyewe na sio kupitia mgongo wa wengine na hilo ndilo wanachama wake wanahoji pia
Mkuu naona mkuu bado huelewi majukumu ya mbunge ni yapi

wewe unataka yeye ajitoe kivipi atoe hela yake mfukoni?

Mbunge na kiongozi yeyote inatakiwa awe na ushawishi kwa wananchi wake, na wadau wengine wa maendeleo ili kuleta maendeleo na ndicho alichokifanya Mwakie


Kama mnataka ajitoe mwenyewe mngemuomba manji agombee kwenu ili awe anatoa hela yake
 
Wewe jamaa kama magodoro yalitoka nyumabani kwa Mwakyembe basi yeye ndie aliyetoa msaada huo.Mimi nafikiri hao unaowasema wangeenda kyela wao kutoa misaada tungejua kuwa niwao. TUMIA AKILI ZAKO VIZURI KUTFAKARI
 
issue sio majungu wala chuki bali kinachotakiwa ni kujitoa kwake mwenyewe na sio kupitia mgongo wa wengine na hilo ndilo wanachama wake wanahoji pia

ajitoe yeye mwenyewe pesa atapata wapi bila kutafuta wafadhili.? Kama mnashindana kuwapatia wananchi maendelea ni jema wala sio kashfa.
 
Mwakyembe atabaki kuwa shujaa wangu no matter what!
 
watanzania kuishi kwa ahadi naona kama ni mentality ya "utegemezi"....
Muwacheni MWAKYEMBE apumuweeeeee................
 

yaelekea huelewi tunachosema hapa ni pamoja na kiongozi kuwa na ushawishi kwa wadau mbalimbali kuchangia shughuli za maendeleo ni lazima pia appreciate kwa wadau waliochangia mfano. alitakiwa aseme 'naishukuru kampuni ya Bioland kwa kuchangia msaada huu nilioutoa' na si yeye pekee kuwa ametoa mchango husika, nadhani umenielewa
 
ajitoe yeye mwenyewe pesa atapata wapi bila kutafuta wafadhili.? Kama mnashindana kuwapatia wananchi maendelea ni jema wala sio kashfa.

Idawa, yaelekea huelewi tunachosema hapa ni kwamba pamoja na kiongozi kuwa na ushawishi kwa wadau mbalimbali kuchangia shughuli za maendeleo ni lazima pia appreciate kwa wadau waliochangia, kwa mfano; alitakiwa aseme 'naishukuru kampuni ya Bioland kwa kuchangia msaada huu nilioutoa' na si yeye pekee kuwa ametoa mchango husika, nadhani umenielewa
 

Muathirika mwingine wa maamuzi ya Mwakyembe Bandarini! amekuja na kashfa za kutunga za magodoro hahahahaha!
 

Mkuu naona una lako wewe si bure

ange appreciate wewe ungefaidika na nini na ungepungukiwa na na nini?

mbona hiyo kampuni haijalalamika
 
Wewe jamaa kama magodoro yalitoka nyumabani kwa Mwakyembe basi yeye ndie aliyetoa msaada huo.Mimi nafikiri hao unaowasema wangeenda kyela wao kutoa misaada tungejua kuwa niwao. TUMIA AKILI ZAKO VIZURI KUTFAKARI

yaelekea huelewi tunachosema hapa ni kwamba pamoja na kiongozi kuwa na ushawishi kwa wadau mbalimbali kuchangia shughuli za maendeleo ni lazima pia appreciate kwa wadau waliochangia, kwa mfano; alitakiwa aseme 'naishukuru kampuni ya Bioland kwa kuchangia msaada huu nilioutoa' na si yeye pekee kuwa ametoa mchango husika, nadhani umenielewa
 
Mkuu naona una lako wewe si bure

ange appreciate wewe ungefaidika na nini na ungepungukiwa na na nini?

mbona hiyo kampuni haijalalamika
Hoja ipo wazi kama kiongozi anapaswa kuappreciate waliompa support, je, na wewe au yeye angepungukiwa nini?
 
Kabisaaaa,hii ndo kashifa ya kuleta jf????!!! Akili yako haina akili aisee.
 
Ukweli ni kwamba Dr Mwakyembe pamoja na uchapakazi wake huku kwenye uwaziri , Jimboni utendaji kazi wake ni hafifu mno , Tuwe wakweli , uhamasishaji wa maendeleo ni kama hakuna kabisa , Ni kweli kabisa kwamba Dr ana maadui wengi lakini hiyo isiwe kinga ya watu kushindwa kuhoji utendaji wake jimboni , kiukweli kilichombeba Mwakyembe Kyela ni ile Ripoti ya RICHMOND tu vinginevyo hakuna kitu , ule uhamasishaji wa kibunge kwa wananchi kujiletea maendeleo ni kama hakuna kabisa , Huo ndiyo ukweli hata kama hatupendi kuusikia ,na tetesi za chini ya carpet zinasema amekorofishana na wapambe wake wa siku zote, akina Richard Kirumbo & co ( wazee wa bia ) , kwa hiyo hata zile propaganda za kupofusha wanakyela ili wasione mapungufu ya Dr a.k.a INGAMBAKO hazipo tena ! Shortly ni kwamba pamoja na mazuri yote ya Mwakyembe, lakini kyela imemshinda ! Sasa tatizo sijui ni ugonjwa au uwaziri ? Yetu macho .
 
Hoja ipo wazi kama kiongozi anapaswa kuappreciate waliompa support, je, na wewe au yeye angepungukiwa nini?

Kwangu mm wananchi ndo wamefaidika kwa sababu huduma zinaimarika regardless nani ametoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…