Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

duh sasa nimeaminin ccm hakuna msafi na lazima wakatwe tu maana hamna namna ya kuendelea kuwavumilia
 
mumeanza kumchafua?
Mumejua kuwa amepanga kuleta ushaidi wa walimpa sumu mnaanza kuweweseka subili ,
ungeleta zile nyaraka za fisadi papa alizokuwa anatuonyesha slaa zidi ya lowasa ndo tungejua wewe ni binadamu,

Huo ushahidi aulete leo!! yaani hata alete ushahidi upi wenye kuambatana na picha za cctv camera bado kwa EL, hatuachi kumpa kura. yaani kama hujui unapokwenda huwezi potea kamwe!! ccm imewafikisha watz sehemu ambapo hatujui tulipo wala tunapokwenda basi tumeamua kufuata hii njia, hivyo hatuwezi kupotea
 
yule ni mtu makini,
ukitaka kumjua kaulize mashariti ya phd yake ndo umjue mwakyembye,

Umakini wake uko wapi ili hali ya kuwa alilikana andiko la Phd yake (ambako alisema wazi wazi kuwa anaamini katika serikali 3) wakati wa bunge la katiba, in short in mchumia tumbo tu, msomi makini huwa anasimama katika kile anachoamini especially kwa academician kama yeye.

Umakini wake uko wapi wakati alimleta Investor tapeli la kimataifa Shumake na akadai kutakuwa na treni iendayo kasi toka Pugu mpaka mjini na.

Umakini wake uko wapi ili hali ya kuwa kwenye sakata la Richmond alificha information ili tu kumlinda mkulu.

Halafu hiyo Phd yake unayosema ilikuwa ina kitu gani cha ajabu saaaaaaana! kulinganisha na za wenzake pale UDSM?
 
Hivi unadhani atashitakiwa yeye kama Mwakyembe?

Sijaongelea habari za yeye kushtakiwa! ninachomaanisha ni kuwa as long as na yeye ni mtu ambaye yuko kwenye hiyo scandal tayari anakuwa ashachafuka.

Zingatia maneno hayo hapo chini

Chris anamtuhumu Dk.Mwakyembe na washirika wake kwa mambo mawili. Kwanza, fedha alizotoa hazikufikishwa kwa wananchi wa Kisasida kama ilivyokubaliwa; na pili, Power Pool East Africa Limited, imejifunga – kinyume cha taratibu –katika mkataba mwingine wa ubia na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).
Tayari Chris amemlima barua kampuni ya Dk. Mwakyembe, akiomba arejeshewe fedha alizotoa. Barua Chris kwenda kwa Dk. Mwakyembe imebeba Kumb. Na. PP/KOREA/22/2014. Iliandikwa tarehe 4 Februari 2014.
Katika barua hiyo, kampuni ya Korea inasema, ilijifunga katika mkataba wa ushirikiano na Power Pool East Africa, ili kuzalisha umeme wa upepo mkoani Singida.
Anasema, 22 Februari 2010, kampuni yake ilitoa kiasi cha 316, 189.60 milioni kwa ajili ya fidia ya Ardhi katika mradi huo.
Akiandika kwa wakurugenzi wenzake, mara baada ya Chris kuwalima barua, Mwamanga, anasema, “deni hilo, linayaweka mahusiano kati ya kampuni hiyo ya kigeni, katika hatari na kuchafuka mbele ya macho ya kimataifa.”
Aidha, katika makubaliano mengine, kampuni ya Chris ilikubaliana na Dk. Mwakyembe, kutoa kiasi cha dola za Kimarekani 1 milioni moja (sawa na Sh. 2 bilioni).
Nyaraka zinaoyesha, kufuatia malalamiko ya Mkorea huyo, baadhi ya wanahisa katika kampuni hiyo wenye madaraka makubwa ya kisiasa walianza kuondoa majina yao na kuomba washikiwe hisa zao na wanahisa wengine ili kuepuka kushitakiwa.
 
Kama ulivyoandika tu inaonyesha una utofauti sana na kitu unachotetea. Habari imekaa kama karatasi iliyookotwa kwenye "dustbin". Haivutii wala haileti maana.
Habari kama hizi hazionyeshi ukweli wowote. Mwakyembe anahusika vipi? Nilibahatika kusoma "Business Laws", hakuna mahakama inashitaki mtu eti kwa sababu ya kosa la kampuni. Kama nakosea wale wanaojua sheria, wanaweza elezea.

Ndo maana nasema kuna habari za kishabiki na za kweli.

Mkuu heshima yako kabla hujawa mwepesi wa kutusi watu jitasmini kwanza uwezo wako wa kusoma na uelewa wa habari kabla ya kusema.

Kikubwa ulichokikosa au kushindwa kutambua katika usomi wako ni maneno "taarifa zilizopatikana kutoka...".

Pili ujue umuhimu wa alama ya mkato (comma) " , " ina maana taarifa imetoka kwenye vyanzo mbali mbali ikiwemo Ikulu jijini Dar , nchini Korea , watu wakaribu wa Mwakyembe na mwisho nyaraka mbalimbali.

Sasa cha kufanya ni kurudia tena kusoma halafu muombe msamaha mleta habari sababu kwa haraka haraka unaonyesha unakaogonjwa fulani kanaitwa "DISLEXIA".
 
Huyu Kubenea naye kanjanja tu amehama kwenye habari zake za kumchafua lowasa kahamia huku sasa.

Njaa zinasumbua waandishi wa Kibongo.
 
Hapana wanaccm fisadi mpaka utoke ccm mwakyembe in MTU safi sana kama malaika
 
Umekuja speed mleta uzi ni vzuri ungewauliza wanasheria kabla ya kuleta kituko hiki.
 
Mwaka 2010 nikiwa natokea south africa kikazi nafanikiwa kukaa karibu na kiti cha mwanasiasa mahili wa upinzani wa tanzania dk slaa, nafanikiwa kumsalimia dk slaa kwa bashasha kwa sababu ni moja ya wanasiasa ninao waheshimu zaidi. baada ya salamu tulizungumza nae maneno mawili matatu na hasa upande wa siasa na uchumi, mara nyingi dk alitaka kujua mimi ni mfuasi wa chama gani,haraka nilimjibu mimi ni muumini wa siasa za mabadiliko ya kweli na yasiyo tetereka ,nilimuelezea kwa kirefu maana ya maneno uumini wangu huo japo tulibishana hapa na pale mpaka tulipofika dar es salaam.

tulipo fika dar es salaa uwanja wa ndege yeye alitokea geti la watu mashuhuli na mimi nikatokea geti la kawaida,nikachukua gari (taxi)nakuanza safari,kabla hata sijafika nje ya barabara kuu gari nililokuwamo linapata hitilafu niliamua kutafuta gari nyingine ili niendelee nasaafari yangu ya kuelekea nyumbani ,niliporudi nyuma ya gari ili nichukue mizigo yangu mara naona gari aina ya land cruiser vx ya kijani inasimama pembeni yangu na kiookushushwa,na mara naona sura ya dk slaa ,mara moja ananiuliza tatizo na mimi bila kusita nikamuelezea ,papo hapo akanitaka niingie kwenye gari alilo kuwemo,nami bila kusita nili tii ,alinitaka nikae kiti cha mbele maana nyuma alikua amekaa na mtu ambae mara ya kwanza sikumfahamu vizuri ila nilipo ingia ndani ya gari nikafanikiwa kumjua ,alikua dk harrison mwakyembe,haraka nilimsalimia na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nafanikiwa kukutana na mtu ambae naweza kusema kwangu nina mchukulia kama mtu mwenye uwezo mkubwa zaidi katika kukisimamia kile anacho amini. kwa mara ya kwanza nimekua nikimfuatilia mwakyembe mara baada ya sakata la richmond,mimi binafsi ni mwanasheria na naweza sema nimesoma kati ya moja ya vyuo vizuri duniani , nadiriki kusema ripoti iliyo andikwa na kamati ya dk mwakyembe ni moja ya ripoti bora zaidi duniani, naomba nieleweke nazungumzia kisheria yaani kwa namna ripoti ilivyo andikwa iliandikwa kitaalam zaidi kiasi ya kwamba situ inaweza kukufanya ujiuzulu au ukafungwa kabisa lakini inaweza pia kutumika katika kufundishia kwa namna ilivyo andikwa kitaalam. ripoti inayo kubana katika nyuzi 360 bila kuacha mwanya wa aina yoyote ya mshukiwa kutoka. Baada wa ripoti ile wote tunajua kilicho mtokea dk mwakyembe , alitaka kuuwawa kwa sababu tu ya kusema ukweli,lakini wauwaji walisahau neno moja , bibilia takatifu inasema hvi mwenye haki wangu ataishi kwa imani.

mwakyembe aliishi kwa imani na alikisimamia kile alichokiamini ni ukweli mpaka leo hii.watu waliotaka kumuua dk mwakyembe ni watu wenye maono makubwa sana kwenye siasa hawakuwa watu wa kubabaisha hawakuwa majambazi hawakua vibaka walikua ni watu waliokua na malengo ya kisiasa ya muda mrefu, kundi la wauwaji hawa lilijumuisha wasomi wachambuzi wa mambo ya siasa wafanya biashara wakubwa na bila kusahau wanasiasa wakubwa,lakini swali la kujiuliza ni kwann dk mwakyembe pekee ndiye aliye taka kuuwawa na sio wenzake walioshirikiana kuandika ripoti, maana ripoti ile haikuandikwa na dk mwakyembe mwenyewe,ntarudia kusema tena watu waliotaka kutekeleza mpango ulioshindikana wa kumuua dr mwakyembe walikua watu wenye ufahamu mkubwa sana na walijua vizuri uwezo wa dk mwakyembe. dk mwakyembe alikua ndiye mtu pekee ambaye angeweza kuzuia mpango wao wa muda mrefu wakushika madaraka na kukomba rasilimali,walijua ripoti ya richmond ingeweza kuwa mwiba mchungu kwao,walijua jinsi dk mwakyembe anaweza kujenga hoja walijua na walishalishuhudia hilo haraka wakaona hamna namna ni kumuua kwa namna yoyote ile iwe kwa bunduki na kusingizia majambazi au sumu ,vikao vilikaa usiku na mchana kutafuta namna ya kutekeleza azma yao,baada ya majadiliano ya siri kubwa na kubumbuluka kwa mipango ya awali wakakubaliano kutumika kwa sumu ,watu hawa ni matajiri walitafuta sumu umbali wa maelfu yakilometa kutoka walipo, walifanikiwa kuipata na pia walifanikiwa kumuwekea dokta mwakyembe ,lakini MUNGU ni mkubwa sumu waliyo mwekea dk mwakyembe mwili uliitema kwenye ngozi yaani maini yake hayakuruhusu damu iliyo changanyika na sumu kupita na badalayake kwa uwezo wa kiuumbaji u
 
Sasa ndio kampeni zimeanza.
Nashauri watoto wakae pembeni.
 
Vipi Lowassa anadoa au kwa vile wa upande mwingine. Yaani chanzo chenyewe Kubenea anayefanya siasa za msimu. Sahizi hana wa kumuandika maana wameungana kusaka tonge pamoja na aliyekuwa anauzia magazeti yake.
Huo upuuzi unaouongea ni kwa Afrika tu, ndio unafanyika, na kuonekana ni inshu ndogo tu, ila ingekuwa kwa wenzetu hapo ni doa kubwa sana kwa mtu kama yeye.
 
Ukitaka kuijua nchi hii tumia akili yako na si ushabiki. Waliomtuma wameona hajafikisha kama ilivyotakiwa. Nimekwambia huyu hajasoma.

Kama una uelewa anza kujitambua leo.
Mkuu heshima yako kabla hujawa mwepesi wa kutusi watu jitasmini kwanza uwezo wako wa kusoma na uelewa wa habari kabla ya kusema.

Kikubwa ulichokikosa au kushindwa kutambua katika usomi wako ni maneno "taarifa zilizopatikana kutoka...".

Pili ujue umuhimu wa alama ya mkato (comma) " , " ina maana taarifa imetoka kwenye vyanzo mbali mbali ikiwemo Ikulu jijini Dar , nchini Korea , watu wakaribu wa Mwakyembe na mwisho nyaraka mbalimbali.

Sasa cha kufanya ni kurudia tena kusoma halafu muombe msamaha mleta habari sababu kwa haraka haraka unaonyesha unakaogonjwa fulani kanaitwa "DISLEXIA".
 
Mwakembe alisema kwamba kuna mambo ameyaacha ili kulinda serikali isianguke. Sasa ayaseme kwanza hayo aliyoyaacha kuyataja akiwa kama mwenyekit wa kamat.
 
Mwaka 2010 nikiwa natokea south africa kikazi nafanikiwa kukaa karibu na kiti cha mwanasiasa mahili wa upinzani wa tanzania dk slaa, nafanikiwa kumsalimia dk slaa kwa bashasha kwa sababu ni moja ya wanasiasa ninao waheshimu zaidi. baada ya salamu tulizungumza nae maneno mawili matatu na hasa upande wa siasa na uchumi, mara nyingi dk alitaka kujua mimi ni mfuasi wa chama gani,haraka nilimjibu mimi ni muumini wa siasa za mabadiliko ya kweli na yasiyo tetereka ,nilimuelezea kwa kirefu maana ya maneno uumini wangu huo japo tulibishana hapa na pale mpaka tulipofika dar es salaam.

tulipo fika dar es salaa uwanja wa ndege yeye alitokea geti la watu mashuhuli na mimi nikatokea geti la kawaida,nikachukua gari (taxi)nakuanza safari,kabla hata sijafika nje ya barabara kuu gari nililokuwamo linapata hitilafu niliamua kutafuta gari nyingine ili niendelee nasaafari yangu ya kuelekea nyumbani ,niliporudi nyuma ya gari ili nichukue mizigo yangu mara naona gari aina ya land cruiser vx ya kijani inasimama pembeni yangu na kiookushushwa,na mara naona sura ya dk slaa ,mara moja ananiuliza tatizo na mimi bila kusita nikamuelezea ,papo hapo akanitaka niingie kwenye gari alilo kuwemo,nami bila kusita nili tii ,alinitaka nikae kiti cha mbele maana nyuma alikua amekaa na mtu ambae mara ya kwanza sikumfahamu vizuri ila nilipo ingia ndani ya gari nikafanikiwa kumjua ,alikua dk harrison mwakyembe,haraka nilimsalimia na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nafanikiwa kukutana na mtu ambae naweza kusema kwangu nina mchukulia kama mtu mwenye uwezo mkubwa zaidi katika kukisimamia kile anacho amini. kwa mara ya kwanza nimekua nikimfuatilia mwakyembe mara baada ya sakata la richmond,mimi binafsi ni mwanasheria na naweza sema nimesoma kati ya moja ya vyuo vizuri duniani , nadiriki kusema ripoti iliyo andikwa na kamati ya dk mwakyembe ni moja ya ripoti bora zaidi duniani, naomba nieleweke nazungumzia kisheria yaani kwa namna ripoti ilivyo andikwa iliandikwa kitaalam zaidi kiasi ya kwamba situ inaweza kukufanya ujiuzulu au ukafungwa kabisa lakini inaweza pia kutumika katika kufundishia kwa namna ilivyo andikwa kitaalam. ripoti inayo kubana katika nyuzi 360 bila kuacha mwanya wa aina yoyote ya mshukiwa kutoka. Baada wa ripoti ile wote tunajua kilicho mtokea dk mwakyembe , alitaka kuuwawa kwa sababu tu ya kusema ukweli,lakini wauwaji walisahau neno moja , bibilia takatifu inasema hvi mwenye haki wangu ataishi kwa imani.

mwakyembe aliishi kwa imani na alikisimamia kile alichokiamini ni ukweli mpaka leo hii.watu waliotaka kumuua dk mwakyembe ni watu wenye maono makubwa sana kwenye siasa hawakuwa watu wa kubabaisha hawakuwa majambazi hawakua vibaka walikua ni watu waliokua na malengo ya kisiasa ya muda mrefu, kundi la wauwaji hawa lilijumuisha wasomi wachambuzi wa mambo ya siasa wafanya biashara wakubwa na bila kusahau wanasiasa wakubwa,lakini swali la kujiuliza ni kwann dk mwakyembe pekee ndiye aliye taka kuuwawa na sio wenzake walioshirikiana kuandika ripoti, maana ripoti ile haikuandikwa na dk mwakyembe mwenyewe,ntarudia kusema tena watu waliotaka kutekeleza mpango ulioshindikana wa kumuua dr mwakyembe walikua watu wenye ufahamu mkubwa sana na walijua vizuri uwezo wa dk mwakyembe. dk mwakyembe alikua ndiye mtu pekee ambaye angeweza kuzuia mpango wao wa muda mrefu wakushika madaraka na kukomba rasilimali,walijua ripoti ya richmond ingeweza kuwa mwiba mchungu kwao,walijua jinsi dk mwakyembe anaweza kujenga hoja walijua na walishalishuhudia hilo haraka wakaona hamna namna ni kumuua kwa namna yoyote ile iwe kwa bunduki na kusingizia majambazi au sumu ,vikao vilikaa usiku na mchana kutafuta namna ya kutekeleza azma yao,baada ya majadiliano ya siri kubwa na kubumbuluka kwa mipango ya awali wakakubaliano kutumika kwa sumu ,watu hawa ni matajiri walitafuta sumu umbali wa maelfu yakilometa kutoka walipo, walifanikiwa kuipata na pia walifanikiwa kumuwekea dokta mwakyembe ,lakini MUNGU ni mkubwa sumu waliyo mwekea dk mwakyembe mwili uliitema kwenye ngozi yaani maini yake hayakuruhusu damu iliyo changanyika na sumu kupita na badalayake kwa uwezo wa kiuumbaji u

Mkuu, yaani na usomi wako wote huo na ufuatiliji wako wa siasa za hapa TZ bado ulikuwa humfahamu Dr Mwakyembe hadi 2010 ulipokutana naye kwenye gari!! Anyway unaonekana ni mtunzi mzuri
 
Ushahidi wa Richmond utawasilishwa siku mbili kabla ya uchaguzi.. Wachaga lazima mtapike mbege siku hiyo.

Hahaha lumumba kwel.mmefachafukwa...endeleen kukaa nyma ya keyboard..sis tupo field tunatangaza sera na ushind wa 80%
 
Back
Top Bottom