Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

Dr. Mwakyembe kufikishwa mahamakani kwa Utapeli

TEAM Mamvi wanamgusa huyu mwanaume......Aliehifadhi nyaraka na taarifa kulinda heshima yake...
Kampeni zinakuja yaliojificha yatajulikana tu...
Katika BIASHARA MENGI YAPO NA YOTE YANAMFUMO WA KUTATULIKA MODE OF SOLVING INTERNAL CONFLICTS...
ILA HUWEZI KUMSAFIHSA MWIZI KWA TUHUMA HIZI ZA KUGUSHI
TAREHE 1 SEPTEMBA SIO MBALI CHUNGA SANA
 
Dr. Lowa..... WHEN???
kwa umaarufu wooooooote hivi hana hako kaudaktari kaheshima???????
NAULIZA TU,KWA SAUTI
 
mumeanza kumchafua?
Mumejua kuwa amepanga kuleta ushaidi wa walimpa sumu mnaanza kuweweseka subili ,
ungeleta zile nyaraka za fisadi papa alizokuwa anatuonyesha slaa zidi ya lowasa ndo tungejua wewe ni binadamu,

Subili ndio nini? HAKUNA MWANA CCM MSAFI, kwasababu mfumo wa CCM unawaruhusu viongozi wake kuiba,kutapeli na kutumia mali za umma watakavyo. Hili la ufisadi ni kawaida kwa CCM miaka yote.
 
Dr. Lowa..... WHEN???
kwa umaarufu wooooooote hivi hana hako kaudaktari kaheshima???????
NAULIZA TU,KWA SAUTI

Lowassa hataki udaktari wa kupewa pewa hovyo kama mwenyekiti wenu aliyepewa bila hata kuingia darasani. Teh teh teh...
 
Gazeti la jf kuweni makini msijekufungiwa miezi 24 komoa
 
mumeanza kumchafua?
Mumejua kuwa amepanga kuleta ushaidi wa walimpa sumu mnaanza kuweweseka subili ,
ungeleta zile nyaraka za fisadi papa alizokuwa anatuonyesha slaa zidi ya lowasa ndo tungejua wewe ni binadamu,
Soma habari kwanza acha kukurupuka kama uharo!
 
Kagazeti kenyewe ni mwanahalisi online,

Tokea kubenea umamchafua lowassa sina imani na wewe
 
Back
Top Bottom