Dr. Mwaka vs Babu Ambilikile Mwasapile wa Loliondo

Dr. Mwaka vs Babu Ambilikile Mwasapile wa Loliondo

Haya mambo ya naenda kwa zamu! Sahv ni zamu ya dr mwaka naye kupigaaa

Ovaaaa
 
Huyo Dr mwaka ni tapeli mkubwa sana japokuwa watu hawasikii,nenda na matatizo yako ya UTI ukamuliwe maji ya limao,au uchanganyie liqour ya chupa kwenye maji upewe kwa laki 2,

Kule insta kuna kubwa jinga moja lina mtetea na kupotosha raia sijui lina maslahi na utapeli wa huyu dokta mwaka!!
 
Kule insta kuna kubwa jinga moja lina mtetea na kupotosha raia sijui lina maslahi na utapeli wa huyu dokta mwaka!!

Kama ni dem basi atakuwa ana banduli na hyo dr mwaka, jamaa mpigaji tu shz typ
 
Jana amelaza baada ya kusikia Dr halisi kigwangallah anaenda kuonana nae
 
Mimi niliamini %90 ya watanzania ni wagonjwa enzi za loliondo watu waliuza mpaka viwanja ili waende kutibiwa kwa jero.

Kwani idadi ya walioenda kutibiwa ilifika watu wangapi mpaka uka calculate na kupata hiyo 90% ?
 
Dr. Mwaka mwenyewe alisha piga kikombe cha babu. Hapo ndo utajua nani zaidi
 
Dr Mwaka kamtapeli Queen aliyekuwa mke wa jamaa yangu na kamuoa kabisa na kumfanya mkewe wa tatu. Kweli mtego wa kupata wanawake ni kitu kidogo tu. Ila hizo hela za kuuza ngada zina mwisho wake tu.


Haaaa, anauza AL BADIR YA KIHINDI! Ayaaah
 
: Tell us about yourself?

A: I was born in 1976 in Kigoma and attended primary education school at Kiezya Primary School between 1984-90 and later at Kigoma Secondary School between 1991-94.-

I achieved high school education at the Ununio Islamic School between 1995 and 1997. I got my Diploma in Computer science certificate in Dar es Salaam between 1998 and 1999. I then advanced my computer knowledge after getting Advanced Diploma in computer science at Ayurved College before studying traditional medicine.

I must admit that my clan has many members who are basically traditional healers. As you know that many African clans , are traditionally divided in three main cultural settings which include families grounded in academics, families which have most of its members practicing witchcraft and those which are mostly engaged in traditional medicine like ours.
My grandfather is traditional healer, and my father is also a traditional healer and many others in my clan.

Q: When did you start practicing alternative medicine?

A: I started healing people when I was eight years old. A mad man was brought to our house one day for treatment by my grandfather. Unfortunately my grand father was not around. There was nothing I could do but to step in and do the healing using the old style of teaching- traditional medicine.-

Dr. Juma Mwaka

Sehemu ya interview yake km ilivo ktk ippmedia
 
Hivi yule Babu wa kikombe na Dr Mwaka nani zaidi? Maana nasikia tu matangazo mengiii waliopona sisikii ebu niambieni
Naamini kbs kwamba viobgozi wengi wamelala usingizi mzito au hakuna anayejua wajibu wake. Serikali ya mtaa inakuwa wapi mtu km huyo anapofanya hivyo kwebye eneo lako la uongozi? Mpk waziri hajui ht kinachoendelea. Hajui vitui cya afya ktk wilaya/kata/mitaa? Vimesajiliwa? Wako bize kupanga mizinga tu. Hopeless. Hii inachangiwa pia na uwezo mdogo wa elimu??? Juzi niliona madiwani wanaapishwa. Jmn huyu diwani ht kusoma kile kiapo ilikuwa mbinde alirudia zaidi ya mara tatu na bado hakuna kilichoeleweka. Mwisho hiyo mificiem inapiga makofi kushangilia si upuuzi huu? Akili ndogo inaongoza ...... Matokeo kumpa kaxi ya ziada mr. Padlocks mpk aamrishe watu kufanya usafi. Hii ni aibu kbs. Mpk mstuliwe km yale magari ya zamani starter isipofanya kazi gari inatekenywa kwa handle!!!! Hao ndio tulio nao.
 
Mwaka mtoto wa kigoma. The plants pia aka simon lusigwa tena hawa jamaa kule mwisho wa reli majirani...
 
Mwaka mtoto wa kigoma. The plants pia aka simon lusigwa tena hawa jamaa kule mwisho wa reli majirani...

lusigwa naye anakuja juu...mwaka huu tutazaa tu waganga kila kona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom