Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,439
- 166,892
Hivi yule Babu wa kikombe na Dr Mwaka nani zaidi? Maana nasikia tu matangazo mengiii waliopona sisikii ebu niambieni
babu hatari mpaka rais katibiwa
Rais yupi?mtarajiwa JPM au anayemaliza muda wake!
Tezi dume
Tena kwa Dr Mwaka ukisema tu umetibiwa tmj au regency au aghakani haujapona umeumia,bei utakazotajiwa hapo balaa.Hivi yule Babu wa kikombe na Dr Mwaka nani zaidi? Maana nasikia tu matangazo mengiii waliopona sisikii ebu niambieni
Heshima ni kitu cha bure,mheshimu rais wako.Lakini pia kiubinadamu si vyema kumkejeri mtu yeyote sababu ya ugonjwa

Eti mwananyamala si wanalitibu?
Tezi dume
Acha u***nge kikwete hakwenda na alijitetea akasema kwa imani yake hapaswi kwenda kwa mtu anaetibu kwa maombi ya imani nyengine