wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,593
- 3,161
Hivi mbona haijawahi kuliki kosa lake?Kidata alichomkosea mkuu inaonekana ni kikubwa sana
Hivi mbona haijawahi kuliki kosa lake?Kidata alichomkosea mkuu inaonekana ni kikubwa sana
Huu ni ukweli. Pamoja na kwamba kapewa ubalozi kwenye nchi nzuri, nadhani kama nchi tunawaste hazina kubwa sana. Mpoki ni daktari bingwa wa usingizi hapa nchini, madaktari wa namna hiyo wapo wachache sana bongo kwa sasa. Huyu ilibidi tumtumie hapa ili aweze kuwapa uzoefu na wengine.
Ila yote kwa yote pongezi kwake
Kuna dynamics nyingi ambazo hatutajua publicly.Mkuu ina maana hayo usemayo serikali haija consider,maana uteuzi ni wa january kaapishwa may
Nakubaliana nawe, ebhana! kumbe ndie aliekoa uhai wa Lissu,aisee!, hongera zake sanaKuna dynamics nyingi ambazo hatutajua publicly.
Inawezekana anapelekwa huko nje kwa sababu za kisiasa, au kwasababu zingine. Atleast amepewa nchi yenye status. Wangeweza kumtupa libya huko.
Pamoja na hayo bado naamini sekta ya afya bado ilimhitaji sana huyu jamaa, ni gwiji. Kumbuka huyu ndio alimuokoa lissu.
Yes. Ilikua bahati alikua dodoma siku ile. Yeye ndio alifanya huduma ya kwanza kuokoa maisha ya lissu kabla hajapelekwa nairobi.Nakubaliana nawe, ebhana! kumbe ndie aliekoa uhai wa Lissu,aisee!, hongera zake sana
Jambo jema sanaYes. Ilikua bahati alikua dodoma siku ile. Yeye ndio alifanya huduma ya kwanza kuokoa maisha ya lissu kabla hajapelekwa nairobi.
Mpe pole, Katibu mkuu wa wziara ni zaidi ya Balozi huko kapotezwa,
Dr kawa balozi tunashida na madaktari bingwa nchi
Huu ni ukweli. Pamoja na kwamba kapewa ubalozi kwenye nchi nzuri, nadhani kama nchi tunawaste hazina kubwa sana. Mpoki ni daktari bingwa wa usingizi hapa nchini, madaktari wa namna hiyo wapo wachache sana bongo kwa sasa. Huyu ilibidi tumtumie hapa ili aweze kuwapa uzoefu na wengine.
Ila yote kwa yote pongezi kwake
Wala haina haja ya kuandikia mate wakati wino upo mkuu. Cheki takwimu za wataalamu wa sekta ya afya uone Anesthesiologists wapo wangapi? Ni wachacheKama kweli kuna uhaba wa wataalamu wa 'usingizi' na bado akaamua kumpeleka ubalozini basi kachemka!
Huyu so ndo tunaambiwa moja wa madaktari wachache wanaohitajika kwanini asitumike Tanzania?
Ndipo kuna shida hapo,sababu wanazijua waoKama kuna uhaba wa madaktari wenye uwezo wake hapa nchini, na bado anapelekwa huko mbali basi itakuwa kuna sababu za kisiasa, japo najua Mpoki si mpenzi wa siasa!
Pengine ni TISS huyo ,oooh!,chezea sirikaliKama kuna uhaba wa madaktari wenye uwezo wake hapa nchini, na bado anapelekwa huko mbali basi itakuwa kuna sababu za kisiasa, japo najua Mpoki si mpenzi wa siasa!
Kwani TBC INA monopoly ya kutangaza matukio kama hayo? Kilangila.Kwani hua unaangalia Tbc?
Ana kazi ya kimchunguza Mh. Massele. Kilangila.Supika mbona hakuudhulia hii
Siyo lazima iwe hivyo. Ukijifanya kuwatetea anao waita wanyonge Jiwe hapendi. Kilangila.Kidata alichomkosea mkuu inaonekana ni kikubwa sana