Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

mkuu usiende kulala. huyu Suleiman Rashid ni mkurugenzi pale IFM kijana mkali sana..

Mtoto wa nje ya ndoa wa Msuya huyu Mathayo David akiona moto huu atazidi kukonda.
watanzania tumeamka sio wajinga tena. inawezekana amekata kitu kidogo huko TCU kama ilivyo kwa TBS unaweza kuwa na bidhaaa mbovu ukawapa kitu kidogo wakapitisha bidhaa zako.kama alivyokuwa akifanya bwana Mengi NA MAJI YAKE YA KWENYE CHUPA. au dawa zake za miswaki.
 

Mkuu analysis zako zimejaa ushabiki na huwezi kuwa mwalimu mzuri

Kwa title ile kila mmoja anaweza kusema anavyoona yeye depending on which discpline you are and what do you know and what you want!

sijaona methodology uliyotumia au uliyonielekeza kuwa kujua tu title ya huyo mkuu, na nikijua chuo basi ndio degree yake iko sahihi? kwako wewe naona the best method ya kujua authenticity ya PhD ya mtu ni iwe kwenye internet??!!!

kwa hiyo vyuo vya malawi, zambia, namibia, achilia mbali DSM ambao PhD zao hawajapost kwenye internet basi ziko fake!! mkuu umeniacha hoi

Ulisema unaweza tu kuona title ya Mathayo na ukagundua kuwa amemaliza kiaina, mimi nikasema si kweli lazima ujue objective, problem statement na hypothesis, achilia mbali scope

Mfano ulioweka umejiweka pazuri kuwa hiyo title inaweza kutumika katika discpline nyingi tu na still kila mmoja akafanya anavyotaka yeye

Hakuna methodology ya kuhakiki reserach ya mtu kwa kujua title tu, kama ulivyotaka tuamini, ulikuwa unachangamsha baraza, we kalale tu

Mathayo bado anaweza kuwa kadanganya , wala siko kumtetea yeye hapa, hizi forum tunajifunza vingi, nilikuwa na hamu unipe hiyo style , ili nikiiona tu title ya mtu nijue kafoji cheti au la! duh! ningejua kuwa hutaweza kuthibitisha nisingeenda mbali hivi


ukisoma tu kuwa;

"Quality of Information and Behaviour of Risk Around Information Events"

Suleiman Rashid Mohamed PhD (Finance)

basi huyu jamaa ana akili sana; au mbovu sana!!!!

ndiyo maana sheikh yahaya anatamba sana
 

Kanda nakandamiza bado kitabu niko macho
 

Hivi nipe definition ya methodology? nimekueleza katika thread zilizopita namna ya kufahamu umakini wa kazi ya mtu kama umezisoma badala ya kushabikia ni hivi kutwambia umefanya PhD ya Agriculture haitusaidii kitu kutambua ulichokifanya ni kama kutamba nina Masters Degree bila wadau umefanya nini Masters of Law (LLM) au Masters of Science, au Masters of Arts ushanifahamu!!!!

PhD ya Mtu kama Dr Suleiman Mohamed na wengineo hata Professor Lipumba huandikwa Title mzee itusaidie kuipata abstract ya muhusika thesis yake!!! (unless hujui maana ya abstract). Ndani ya abstract ndio utajua objectives za mtu kufanya huo utafiti, findings alizopata ili zitusaidie kufahamu contribution yake katika ulimwengu wa ufahamu (kama unafahamu nini maana ya contribution).

Sasa wewe ukienda kulibandika liPhd lako ubao kuwa

Mfano Weberoya PhD (Farming) then so what!!!! lazima utueleza ulifanya utafiti sehemu gani na watu walio makini hawaogopi kusema kwasababu ukienda utawakuta mkubwa. Watu wenye wasiwasi ndio huficha ficha wanaogopa wasikamatwe.
 
Kweli Weberoya unataka kuniambia kuwa PhD za watu mlimani hazijulikani Title zao??? Na kama hazijulikani basi kwanini wanafanya utafiti??? Kwanini asikurupuke na lijiproject lake akasema kuwa amefanya utafiti katika poverty au finance au wapi kwanini aseme title yake? Hebu nipe hoja zako nikujibu?? na sio kusubiri nikutafunie mie. Mimi sikubaliani na Mathayo hadi anithibitishie hivyo vitu otherwise naweza kusema PhD yake ni questionable na sababu nishazieleza mwanzoni;
a. Chuo gani amesoma Free State University au University of Free State?
b. PhD (Agriculture/Animal Science)
c. What is the Title (Intensive Farming?, sustainable agriculture etc)?
d. Kuna wadau wanauliza why now???
 

umemaliza kila kitu hata mimi Kanda2 nimeelewa.naona nikuite Mwalimu Mdondoaji kama kuna email ya Mathayo na TCU tuwatumie ujinga wao waliofanya. labda Waberoye ndio Mathayo mwenyewe.
 

Sometimes kutudanganya kama vile watanzania hatujui kitu sio jambo la busara hata kidogo na zama hizi za utandawazi. Pesa serikali ziliwe kiujanja ujanja, na Taaluma nayo ipatikane kiujanja ujanja vilevile?? No wonder tuna 80% failures form 4 hii ni aibu nchi nyengine waziri anaresign kwa hili but kwetu waziri anaona jambo la kawaida kabisa.
 

Mdondoaji acha kupanic, nimeshakueleza sikutuma post zangu kujua ukweli au si uwongo wa thesis ya Mathayo , mimi hainihusu, ulisema ukijua tu title unaweza kuhakiki thesis ya mathayo kuwa ni halali au haramu, sasa haujanipa jibu mpaka sasa hivi unawezaje kuhakiki research ya mtu kujua titile tu? maana unachosema hapa kumbe ni kitu ambacho hakuna mtu JF anayeweza kukupa unless umuone Mathayo mwenyewe akupe title na kila unachokihitaji. Mkuu mimi sina cha ushabiki, wewe ni mjuaji mno!

Halafu kwepa hayo maneno kama("unless haujui abstract ni nini") haikusaidii wewe wala anayezisoma hizi post, sana sana zinakumulika jinsi ulivyo, Kumbuka hatujuani humu!

Halafu ukumbuke hamna zawadi ya kushinda ubishi humu, wengine tukona mtu mjuaji basi wewe ndie mshindi


Sijasema hivyo, PhD za mlimani hazina title what makes you to say that? nini nilichosema kupelekea wewe kusema hivyo. It seems your only way of authenticate someone's work is through internet!, nikauliza wa wale ambao kazi zao haziko kwenye internet inakuwaje? mzee una-digress issue purposely!

Mdondoaji wewe ni nani? mtu wangu hata ukiikataa wewe itamsaidia au kumuharibia nini mathayo?, mimi naona tunakichofanya ni jinsi gani yakuweza kuhakiki kazi ya mtu. Kwa hili mimi simsemei Mathayo kama nilivyosema kilichoniingiza mimi na wewe kudebate ni kule kusema ukiiona titile tu ya mtu basi una weza kuhakiki, unless ukatae sasa kuwa haukundika hivyo!

kwa hiyo kama hamna jinsi ya kuakiki kazi ya mtu based on internet only, naomna niishie hapa!

umemaliza kila kitu hata mimi Kanda2 nimeelewa.naona nikuite Mwalimu Mdondoaji kama kuna email ya Mathayo na TCU tuwatumie ujinga wao waliofanya. labda Waberoye ndio Mathayo mwenyewe.

Wenzako huwa wanakwepa sana kutafuta cheap ku-conclusion ambayo ina kudevalue wewe,

inaonekana umeingilia mjadala katikatia, my debate na Mdondoaji ni kuwa alisema akiipata tu title ya Mathayo anaweza kuhakiki kuwa ni PhD ya kweli au ya uongo.
sasa sijajua kusema Mathayo ndiye waberoya inakuja vipi na inaaanzia wapi, hakuna sehemu yoyote niliyomtetea Mathayo kwa namna yoyote, hata ile kujua kuwa alifanya kilimo ndiyo najulia hapa, mimi ni mhandisi wa ujenzi mtu wangu na sifichi hilo. Sijajau hiyo conclusion maana inamaana nyingi sana, labda ni kujikomba kwa mdondoaji au unaona ukikaa kwenye keyborad unaweza kupost kitu chochote kile!

Mdondoaji: naona tuishie hapa mkuu, Inaonekana sikukuelewa kabisa, maana nilitaka kujua jinsi ya kuhakiki kazi ya mtu kwa kujua title tu. kama nilikulewa vibaya lets end here! sikukuelewa mkuu kwenye post yako ya 67 paragraph ya nne sentensi ya kwanza, na post yako ya 81 paragraph ya kwanza sentensi ya kwanza. mimi nilitaka kujua tu utaalamu wako huo. Mathayo hanihusu mimi akiwa amefoji hajafoji shauri zake mimi haniumizi tumbo kabisa!
 
Naona hapa swali linalotakiwa lijibiwe ni unatumia njia gani au kigezo gani kusema flani hana PhD? Hili suala halijibiwi badala yake wanaingia humu akina Kanda2 bin GT nakuanza kurushia posts zisizo na kichwa wala miguu.
 
Naona hapa swali linalotakiwa lijibiwe ni unatumia njia gani au kigezo gani kusema flani hana PhD? Hili suala halijibiwi badala yake wanaingia humu akina Kanda2 bin GT nakuanza kurushia posts zisizo na kichwa wala miguu.

Kamanda PhD ni contribution to the body of literature kama ni sayansi au biashara zote sawa. Sasa tofauti na masters PhD unaanza tangia chini kuokota makaratasi hadi ukatengeneza kitabu ambacho wanataaluma wenzio watakitumia kuendeleza ulipoishia nadhani nimeshafahamika (naogopa kuitwa mjuaji nisameheni kwa niliowakosea mie ni binaadamu).

Sasa ishu inakuja quality ya kazi. Kitu kinachosababisha quality ya kazi yako isilete maana ni kwanza chuo chako husika kwasababu kama chuo hakieleweki tutajuaje hiyo kazi uliifanya wewe na sio mtu mwengine???

Pili Kama chuo dizaini tutajuaje kama hizo data ulizokusanya ni sahihi hasa kama unafanya utafiti wa kisiasa (qualitative research).

Tatu Tukija katika vyuo vya online they are questionable kwasababu wao they are just there to make business they do not care about the quality of the work. Ndio maana Unesco wana buku lao refu la accredited Higher Learning Institution lisaidie kufaa vyuo sahihi kwani vyuo vya chini mti au tovuti vina matatizo yake. Unakuta Chuo Kinaitwa Stanford University of Sweden (Wakati Stanford ipo US). Washington States University of Australia (wapi na wapi). Vyuo hivi mara nyingi vinaanzishwa for those people wanaokwenda ulaya kupata admission za kuombea visa and nothing else. Sasa kama chuo kibiashara unadhani kuna umakini wa PhD let alone hao wahusika wenyewe? But kwakuwa Watanzania tunapenda miteremko watu wanaenda.

Mie binafsi, rafiki yangu aliwahi kujaribu kupeleka kazi yake tukiwa undergraduate pale UD on behalf of mama mmoja alikuwa anasoma post-graduate diploma katika Chuo kinaitwa sijui Washington tukaambiwa yule mama amefaulu vizuri ana Masters. Tulicheka hadi mbavu zikatuuma. haya an asignment tu mtu kapewa masters sembuse dissertation si mtu atapewa PhD kabisa!!!
 

Nimesoma maelezo yako.

Lakini tuende specifically in context of the current thread. Je, unazo information ku-clarify mtatizo uliopo au methodology ya kujibu swali langu la msingi? Hii itasaidia mjadala kuliko kuongeza counter ya posts kwenye thread bila input ya maana.
 

Rudia posts za nyuma nimetoa vielelezo vyangu tupatieni majibu basi
 
Rudia posts za nyuma nimetoa vielelezo vyangu tupatieni majibu basi

Kaaz kwelikweli.

Bw. Mdondoaji nimeuliza swali na wewe unaniuliza tena swali. Nway nitaanza kupitia posts zako kuona kama umeweka hivo vielelezo na kujibu swali langu la msingi.

Post #48

Hamna jibu la swali langu.

Hamna kielelezo.

Naendelea kusoma posts zako zilizojaa hekima.
 
Rudia posts za nyuma nimetoa vielelezo vyangu tupatieni majibu basi

Post # 52


Hapa naona unaongeea meeeengi..unaspeculate tu na furthermore unaeka mawazo yako na kuyafanya kuwa standard procedure ukitegemea au ukidhania hivo ..

Again,

Hakuna jibu

Hakuna kielelezo chochote.
 
Rudia posts za nyuma nimetoa vielelezo vyangu tupatieni majibu basi

Post #54


Mawazo yako and the way u think things should be.

Again,

Hakuna jibu

Hakuna kielelezo
 
Rudia posts za nyuma nimetoa vielelezo vyangu tupatieni majibu basi

Post # 61,


Hapa unadai upewe thesis.??

Again,

Hamna kielelezo,

Hakuna jibu la hoja yangu
 
Rudia posts za nyuma nimetoa vielelezo vyangu tupatieni majibu basi

Post # 62.


Hapa bado unalazimisha mawazo yawe manual inayotumika ku-calibrate PhD worldwide.

Again,

Hamna vielelezo wala majibu ya hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…