Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
Asante Amina Thomas kwa kukemea matendo ayafanyao Manyaunyau! Inashangaza sana kwa jamii yetu kuendekeza mambo ya kishirikina hadi katika karne hii ya 21! Madhara ya matendo ya akina Manyaunyau tunayasikia kila kuchapo. Kama kuuawa kwa kwa ndugu zetu ma-Albino na vikongwe, kadhalika na kadhalika. Kibaya zaidi ni publicity anayopewa na vyombo vya habari. Naamini Manyaunyau ni conman anatastahili kushughulikiwa na vyombo vya sheria badala ya kuachiwa kuendelea kulaghai umma. Tunahitaji jamii ya uelewa wako AMINA! HONGERA.Hivi hatuna societies za kutetea wanyama? This sounds like cruelty to animals.
Asante Amina Thomas kwa kukemea matendo ayafanyao Manyaunyau! Inashangaza sana kwa jamii yetu kuendekeza mambo ya kishirikina hadi katika karne hii ya 21! Madhara ya matendo ya akina Manyaunyau tunayasikia kila kuchapo. Kama kuuawa kwa kwa ndugu zetu ma-Albino na vikongwe, kadhalika na kadhalika. Kibaya zaidi ni publicity anayopewa na vyombo vya habari. Naamini Manyaunyau ni conman anatastahili kushughulikiwa na vyombo vya sheria badala ya kuachiwa kuendelea kulaghai umma. Tunahitaji jamii ya uelewa wako AMINA! HONGERA.

Haa haa haaa! Hata mimi nilitaka kuuliza swali hilo, lakini nikaja kugundua kuwa Amina Thomas ndiye aliyetundika mada hii, japokuwa bado najiuliza ni kwa nini Mkuu Utu alimquote Bluray halafu akamshukuru Amina Thomas !!!Huh! Bluray anaitwa Amina?
Jamani hivi majina yanakua ishu katika jf!?