Jay kajenga Chama, nyie ndo mnaanza kubwatuka from nowhere.. Gombeeni udiwani mbunge ni mmoja wengine nendeni kwenye Halmashuri.
Tuache demokrasia ichukue mkondo wake,bila shaka wana wa mikumi wanajua ni nani anawafaa zaidi miongoni mwa watia nia.Namkubali sana Dr Makweta , anatosha Na analijua vizuri jimbo la mikumi .
Prof jay eeee yes ila halijui jimbo la mikumi vizuri . Pengine angeandaliwa kwenda kugombea Songea mjini badala ya mikumi .
Hakuna Mwingine ni Brendan Maro Mchumi atakayekomboa wana Mikumi.
Pamoja tusonge nae!
Jay kajenga Chama, nyie ndo mnaanza kubwatuka from nowhere.. Gombeeni udiwani mbunge ni mmoja wengine nendeni kwenye Halmashuri.
sembuli ndugu yangu,Dadangu mbona unachangia kwa jazba sana ? Chama kinajengwa na wanachama wote si mtu mmoja mmoja ! Weka mapenzi kando tuwekee Cv ya jay tulinganishe Na waonyesha nia wengine badala ya kutoa povu !
huyo ndiye yule jackson Makweta alikuwa waziri wa Elimu miaka ya Nyuma?
Professor J anatosha kabisa hatutaki ma Dr wa darasani sisi
Prof jizzo wa mitulinga ashachukua jumbo hilo
We sauli mkweli ni mwongo mkubwa!
Mbona umeacha mmoja anayetaka kuonesha nia, je Brendan Maro wa TIC unamweka wapi? Usidhani JF ni viduku vyenu vya FB Kucha kulishwa matango pori!
So far hebu nipe elimu ya huyo unayesema Dr. Makweta maana nijuavyo mm huyo ni medical assistant, huo udokta umetoka wapi? Au ndo maisha ya vijijini hata muuza duka la dawa ni Dokta.
Lete qualification zake tumechoka kuongozwa na design za kina Prof. Deep water!
Cc . Illovo
Mkumbuke maendeleo ya jimbo hayaji kwa bongo flava!