Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Ktk mambo ambayo yatampunguzia kazi magufuli ni uchaguzi wa Dr Mahiga kwenye nafasi ya Waziri mambo ya nje
1. Kwanza ana uzoefu kwa maana kwamba hahitaji kusimamiwa .
2. Ni mtu mwenye Busara ktk kutatua matatizo na kuleta magusiano.
3. Sidhani kama atafanya kazi kwa kutaka kujipaisha ili siku moja awe Rais.
4. Ni mtu ambaye Magufuli anaweza kumtuma sehemu yoyote duniani na akafanya kazi nzuri yenye kiwango.
5. Ana uwezo wa kumshauri Rais Magufuli ktk mambo mengi ya kimataifa.
Japo wapo mawaziri wengine ambao si mawaziri wa kusimamiwa lakini Mahiga anaweza kuitangaza Tanzania vizuri pengine kuliko waloo mtangulia kwenye nafasi hii.
Big up Magufuli & Mahiga.