akihutubia maelfu ya wakazi mkoani Mtwara mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm amejinadi kuwa serikali ya ccm imejenga kiwanda cha Dangote kwa ajiri ya kutoa ajira kwa vijana. swali langu kwa mh. Magufuri DANGOTE ni kiwanda cha serikali? mi naona kwa hilo umewadanganya wananchi
Mtaji wao ,ujinga wa wananchi.Kachanyikiwa Magufuli Na Upepo Wa Ukawa Yaani Anasema Tu
akihutubia maelfu ya wakazi mkoani Mtwara mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm amejinadi kuwa serikali ya ccm imejenga kiwanda cha Dangote kwa ajiri ya kutoa ajira kwa vijana. swali langu kwa mh. Magufuri DANGOTE ni kiwanda cha serikali? mi naona kwa hilo umewadanganya wananchi
Yani ni full rubish. Subiria mapovu kutoka lumumba fc.