Dr. Magufuri serikali imejenga kiwanda cha Dangote

Dr. Magufuri serikali imejenga kiwanda cha Dangote

Nakushauri tafuta "Audio Clip" ya Magufuli akisema maneno hayo kisha iambatanishe hapa. Itaongeza nguvu ya post yako pia Cyber Law haitakufanya kitu!

Kwa hiyo unabisha kua hakusema hivyo?
 
Yaani mr magu anaji lesi sana .mara hoo nitatoa laptop kwa walimu wote mara hoo nitatoa mill 50 kila kijiji.wananchi wa kawa na mashaka nawe lakini Kajanja mmoja hivi msema hovyo mmakonde aliye cherewa akakusaidia .leo una sema hili tena .sasa kwann Mr magu unawapasuwa vichwa makajanja wezio na histoshe mapaka mnawatumia akina mr bunduki akina vidoti yuda hamuoni kwamba mnampa shavu mr masai. Ccm badilikeni leteni sela za mahana
 
akihutubia maelfu ya wakazi mkoani mtwara mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm amejinadi kuwa serikali ya ccm imejenga kiwanda cha dangote kwa ajiri ya kutoa ajira kwa vijana. Swali langu kwa mh. Magufuri dangote ni kiwanda cha serikali? Mi naona kwa hilo umewadanganya wananchi
watanznia kwa moyo wa dhati kabisa tuko tayari kwa mabadiliko na kuhakikisha hili tumeamua kuwa tutamchagua mh. Lowasa kuwa raisi wa tano wa jmt.
 
Nadhani huo ni mwendelezo kwetu wapumbavu na malofa..

Mnajua sisi malofa.atumwamini mtu.anaeongea sana.alfu huyu msukuma mbona alikua aongei sana.amekuaje.me nataka tu afya itakua poa sio watoto wetu wanalazwa 2+ 2 hospitali kule kwa wanaume wodini aina shida ila watoto inatia aibu.
 
Lowassa anawachnganya jamani, yaani hapo akili yote ilikuwa inamuwaza Lowassa!
 
Lowassa anawachnganya jamani, yaani hapo akili yote ilikuwa inamuwaza Lowassa!
 
Nchi hii kwa mara ya kwanza wananchi...wataelewa..
1.HIVI UNAJUA KWANINI TANZANIA HII INATAHABIKA NAMANA HII NA UMASKINI ULIOKIDHIRI...?
2.Maisha duni...hali mbaya kwa kila watizedi wengi?
KUNA SHIDA YA UBATIZO WA NCHI HII..
JE ILIBATIZWA KIHALALI?Ikaitwaje?JINA LAKE LINA SHIDA NA NDIO MAANA BARAKA HAZISHUKI BALI LAANA KWANI MUNGU ANATUULIZA MNAITWA NANI?Chunguza...
 
Watadanganya sana lkn mwisho wao(ccm)bi 25.10.2015. Mhm ni kutunza kichinjio chako tu
 
yani natamani siku watu wakusanyike kwenye mkutano wake then akishaanza kuhutubia kwa dakika kadhaa watu wasepa... maana huu ni uongo mkubwa... anafikiri sie wa mtwara hatufahamu mambo siku hizi yanaendaje? IMETOSHA CCM BYE BYE
 
Back
Top Bottom