Dr. Magufuli tulia, utaharibu

Wewe ni mnafiki wala hueleweki nakufananisha kinyonga!
 

akienda kwenye hiyo mechi uwanja wa taifa halafu yanga ifungwe....sipati picha
 
Kuna swaga moja Sumia alitoa jana,sijui kioo kimevunjia.Magufuli amemdokoa kupitia kwenye kioo.daah hata haieleweki.Tuambie mana yake
 

Nilikua nafikiri Aries ndio wanaongoza?
kina Nyerere ,Napoleon na Hitler?
ntajie wengine scorpion nione
 
Ni supervisor a good one
but sio a leader...wala sio visionary


Lakini si atakuwa na washauri, tena washauri wa mambo ya kisiasa, kiuchumi na mengine mengi.
Don't you think a good supervisor can be molded into a great leader?
 
Kuna swaga moja Sumia alitoa jana,sijui kioo kimevunjia.Magufuli amemdokoa kupitia kwenye kioo.daah hata haieleweki.Tuambie mana yake

Huyu naye hajielewi..ana kazi ya kurembua macho tu ..anafikiri umkamu ni sawa na kucheza dhikir kule mfereji maringo
 
Lakini si atakuwa na washauri, tena washauri wa mambo ya kisiasa, kiuchumi na mengine mengi.
Don't you think a good supervisor can be molded into a great leader?

Yes....kuna possibility....but hakuna guarantee
 
Hembu nipe tathmini ya viongozi waliotangulia. Kuanzia Nyerere hadi Kikwete, ni viongozi wa aina gani?

Nyerere was a leader
ali insipre watu
alikuwa gifted ingawa alifeli mambo mengi but aliheshimika hadi anakufa

Mwinyi was a ruler....alikuwa blessed na bahati nyinyi tu
aliweza kuinua maisha ya watu ingawa alikuwa weak na marafiki
na kupambana na rushwa..but he was a honest person

Mkapa alikuwa hard working but hakuwa sahihi kwa mengi
kwa machache alikuwa very very good na mafanikio yalipatikana but
hakuweza ku insipire watu sana..more of a silent ruler

Kikwete ana bahati sana kuliko wote
kila kitu kilikuwa kina fall kwake tatizo sio visionary
anaweza ku insipre watu but ana limitation ya kuona mbali
na kusimamia vizuri...na usanii kidogo anao......kwa ujumla he is the luckiest of them all
mambo yangweza kuharibika kabisa but kajitahidi
 

Shehe YAhaya au Kajura???? Pole
 
Kama Kikwete ameweza iweje Ashindwe Magufuli
 


So, Nyerere - leader.
Mwinyi - ruler.
Mkapa - hard worker.
Kikwete - A bit of everything but lacks vision.
Mimi namfananisha Magufuli na Mkapa, though huyu anaonekana more hardworking than Mkapa ila pia hana vision. Anahitaji watu wazuri kumuongoza.
Lets wait n see who's gonna be our next president , ukawa nao sio wa kubezwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…