VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Tatizo hakujiandaa kuwa raisi
Bora hata aseme kama huna shs 200 piga mbizi
Sasa unaelekea 'kuboa'. Unarudiarudia maneno yale yale kila mahali unapohutubu,kwanini? Badili hotuba. Badili maneno. Kuanzia ukumbini Dodoma; uwanjani Dodoma, Dar es Salaam na hata Zanzibar, umekuwa ukisema: 'Sitawaangusha,nitakuwa mtumishi wa wote'. Na jana pia umeyarudia maneno hayo hapa Lumumba. Kurudiarudia kunaonesha kufilisika. Usifike huko.
Nafahamu na nakufahamu kuwa una maneno mengi. Unaweza kubadili maneno na hata kuyaleta matamu kuliko hayo. Kama huo ni msemo wako sawa. Lakini,badilikabadilika kimaneno ili uvutie. Shauriyo, utapoteza wasikilizaji kwakuwa tu watakuwa wanasikia yale yale. Badilika Tingatinga!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Magufuli hana sifa ya kuwa rais hats chembe.
Kama MTU anaanza kuonyesha umahiri wa kukariri lugha za makabila mbalimbali si utoto huo????
Sasa unaelekea 'kuboa'. Unarudiarudia maneno yale yale kila mahali unapohutubu,kwanini? Badili hotuba. Badili maneno. Kuanzia ukumbini Dodoma; uwanjani Dodoma, Dar es Salaam na hata Zanzibar, umekuwa ukisema: 'Sitawaangusha,nitakuwa mtumishi wa wote'. Na jana pia umeyarudia maneno hayo hapa Lumumba. Kurudiarudia kunaonesha kufilisika. Usifike huko.
Nafahamu na nakufahamu kuwa una maneno mengi. Unaweza kubadili maneno na hata kuyaleta matamu kuliko hayo. Kama huo ni msemo wako sawa.
Lakini,badilikabadilika kimaneno ili uvutie. Shauriyo, utapoteza wasikilizaji kwakuwa tu watakuwa wanasikia yale yale. Badilika Tingatinga!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu,
Na hili la kila anapotaka kuhutubia ni lazima amshukuru sana JK na kuhaidi kutomwangusha unalionaje??? Hata jana kafika mbali sana kwenye hotuba yake pale kwa kusema mara nyingi JK OYEEEE!!!!!! JK Oyeee!!!!!! badala ya CCM Oyeee!!!!. Nikilinganisha jinsi anavyomuongelea JK ni kama vile yeye atamtegemea JK katika mambo mengi sana ya kuongoza nchi. Hili linanipa wasiwasi zaidi, kwani JK ni kati ya viongozi walioturudisha nyuma sana kwa kutokuwa na uongozi wenye vision na hata nia thabiti ya kumuokoa mtanzania. Na ikiwa Magufuli atafanikiwa kuwa Rais na akamtegemea JK kulingana na jinsi anavyomsifia basi watanzania tutegemee maumivu zaidi.
Jambo lingine linalonitia shaka kuhusu Magufuli ni muonekano wake, kwangu mimi simwoni kama mtu mwenye kuwakilisha presidential presence. Magufuli anaonekana kama mtendaji fulani mwenye kupewa majukumu na kuyatekeleza katika uhalisia wake na si Rais kama kiongozi wa nchi. Anyway, sijui wenzangu mnachukuliaje hili la muonekano wake na kila siku JK Oyeeeee!!!!!! badala ya CCM Oyeee!!!! au Tanzania Oyeeee!!!!!!