Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

Endelea kumdanganya baada ya kumwambia ukweli mnaimba mapambio ya kusifu atajikuta yuko peke yake watu wapo nae kimwili kiakiri watu wanamwombea Lissu apone fasta
 
Mungu mwenye nguvu na enzi amlinde na kumkinga na kumpa ujasiri na maarifa mheshimiwa Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli. Kwa hakika ni rais wa kuigwa.
MUNGU AMBARIKI RAIS MAGUFULI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatumkubali MTU mwenye roho ya kichawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumwa uweke namba ya simu ili watu wajichanganye wakutukane kupitia hiyo namba alafu muwatafute kirahisi kwakua namba zimesajiliwa. Nice try sizonje
Duanzi kweli kweli huyu .watu wako level ya kimataifa analeta mbinu za level ya geita
 
Unatafuta teuzi shauri yako mwenzako bashite aligawa tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe na ukoo wako ndiyo unajiita mko wengi?
 
Mwalimu wangu mmoja wakati nasoma Primary education alinifundisha kuwa wingi huwa unaanza na vitu au watu wawili, kwa hiyo unaposema wengi zaidi inawezekana mtakuwa ni watatu au wanne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeweza kuteuliwa kuwa mtendaji wa kijiji lkn nafasi zimejaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…