Dr. Magufuli songa mbele, upande wako tuko wengi zaidi

jaruri

Wewe kuanza kwa kuomba elimu ni sawa, maana inaonekana huna elimundogo tu ya kujua Magufuli anawachezea shere.
 
SIFA YA KWANZA YA MTENDAJI NI UJASIRI SIO UWOGA,HUYO MTU UNAYEMSEMEA HAPA NI MWOGA KAMA VILE ANAOGA NJE.UKIONGEA KIDOGO TU ANAWAKA KAMA TANURU LA JEHANAMU. ANAWACHUKIA MATAJIRI KULIKO VILE ANAVYOWAPENDA MASKINI WA NCHI HII.
 
Yeye mwenyewe (Magufuli) ni fisadi! Actually, kwa taifa la watu wenye kujielewa hakupaswa kuwa Ikulu. Alipaswa kuwa jela pamoja na mafisadi wenzake wote.


Ni afadhali Magufuli kajitolea kupambana na ujinga huu, namsamehe ila hao waliotajwa LAZIMA wakamatwe na kunyongwa.
 
Wewe ni sawa na wale watu wa enzi za mfalme Nebukadreza na mfalme Beishaza, waliokuwa wakimsifu mfalme, wakisema eee mfalme, uishi milele, huku wakijua wazi kuwa mfalme hana uwezo wa kuishi milele. Kama unachosema ni kweli, fanya kiapo kwa jina MUNGU, tujue uko katika ukweli. Ili kama utaapa kwa uongo, MUNGU wa kweli akushughulikie kwa kadri atakavyoona inafaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom