social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,261
Leo nimejumuika na Waumini wenzangu katika Dominica ya 3 mwaka B parokia ya Chuo kikuu Dodoma kigango cha mtakatifu John Fisher School of social Science,Neno kuu lilikua "TUBUNI NA KUIAMINI INJILI"
Nikakumbuka saga la namba moja wetu pale juu na Baba Askofu Kakobe pale ambapo watawala wanakosolewa na kudai Viongozi wa Dini wanaingilia mambo ya Siasa.
Kwa kweli mkatubu tu Mungu anampenda anaejishusha.
Nawasilisha.