Dr Magufuli, mteue W.Malecela DC Kinondoni

Mleta mada nakuheshimu, kwa nini usitake apelekwe Mbinga, kyerwa au mlele kama siyo Kibondo na utake aletwe Ubungo.
 
Mleta mada nakuheshimu, kwa nini usitake apelekwe Mbinga, kyerwa au mlele kama siyo Kibondo na utake aletwe Ubungo.

Le Mutuz ni Muzee ya Mujini kumpeleka huko madongo kuinama ni kumyima haki zake za kimsingi za kujumuika na kupiga picha na mabebezz.
 
Vyeo havitolewi kwa kufarijiana.Le mutuz na Mwele si aina ya watu wa kupewa vyeo kwa kufarijiwa.
Halafu mbona mmepanic sana,kutenguliwa NIMR sio mwisho wa utumishi wa Dada,anaweza kuwa balozi,RAS,DC au hata RC..
Familia ya Malecela ina uzoefu na mikiki mikiki ya kisiasa tokea utawala wa nyerere
Mzee Malecela alishawahi kupelekwa ubalozini huko uingereza akatoka kabisa nje ya siasa za Tanzania.
Akaja Mwinyi akampa U PM,nako akatungiwa kitabu cha kummaliza kabisa na Baba wa Taifa.Mzee Maleela kwa usugu alipeta tu na akathubutu kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia ccm.Mzee Malecela alikatwa,lakini alijaribu kuhoji kwa ujasiri kabla ya kuzimwa.Lakini Mzee aliendelea na Ubunge na utiifu kwa chama haswa kwenye chaguzi ndogo,jina la tinga tinga lilianza kwake hadi alipostaafu siasa.
Uvumilivu huu ndio waliopewa akina Mwele na Le Mutuz,Sina shaka yoyote Mwele ni professional,na ma Profeesional huwa hawafulii,Mwele sio kama Rutengwe anae lia lia,Mwele ataibuka tu iwe kitaaluma au kisiasa.
Magufuli endelea kunyoosha nidhamu serikali
 
Kupewa ukuu wa wilaya sio kazi, je ataweza 4GB ya Mzee au mnataka family nzima itumbuliwe jmn
 
Maamini kaleeka wimbo ka marehemu captain ukimsikilizisha Le akili kubwaz anaweza kukupiga risasi
 
Haitakuja kutokea!
jamaa uwezo wake wa kufikiri mdogo sana

Ata ivo muda wake ushaisha amezeeka lakin hajitambui
co kwel, jaribu kueshim mawazo ya mtu, yy kaamua kuishi maisha yale sasa kinachokufanya ww umdharau n nn, km yy ana ya Enjoy...
 
co kwel, jaribu kueshim mawazo ya mtu, yy kaamua kuishi maisha yale sasa kinachokufanya ww umdharau n nn, km yy ana ya Enjoy...
Sio dharau mkuu!
jamaa habebeki yule kwa jins alivyoamua kuishi!
inaonesha kuna stage katika makuzi aliruka, anafanya mambo kitoto kabisa kama ana miaka 20s
 
67years
 
Hivi kwa nini anaitwa Le Mutuz
Kwa vile eti shati lake linaweza kufunika Gari aina ya Vitz na likatosha.
Anyway, nikikumbuka mzee Malecela alivyojitoa kati ya ma PM wastaafu kumsifia magu kwa utendaji bora naishia kucheka tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…