Dr Magufuli escapes key international events

Dr Magufuli escapes key international events

Hata akienda kuhudhuria hio mikutano ya UN na akazungumza kiswahili ndani ya mkutano bado atazungumza pumba tu kama kawaida yake.
 
Huyu ilitakiwa awe bwana shamba tu kuchunga kitimotozi na simbilisi na nguchiro ,sasa kawa rais mwenyewe alikili kuwa hakuwa tayari haha kwa wazungu hataenda mpaka kufa kwake.
 
"Escape" huu msamiati umebeba lugha ya picha, hahah

cc Kipanya
Ndio raha ya lugha zilizotumika na wasomi wa kila fani n akuweza jielezea vyema. Si hata kile kiswahili kilichoongelewa pale Addis hapakuwa na kitu hapakuwa na kitu zaidi ya kutaja taja hooligans km akina ghaddafi km vile ni watu very inspirational.
 
Bora asisafiri kwani ziara za nje ni mzigo kwa walipa kodi.
Anatekeleza ilani ya Ukawa ya kulalamikia safari nyingi alizofanya Rais wa awamu ya tano
Mbona wewe mwanzon ulimsifia huyo vasco dagama na ukasema safar zina tija, Tumbo bhana lina maajabu yake!!!
 
najua na nimesoma IR/International Relation/na nimefundishwa na nguli toka chuo cha taifa udsm prof Muhabe Nyirabu!

Km Tanzania ingekuwa kiti kiko wazi ndo ungekuja kuleta povu lako,Lakin mwakilishi Mahiga yupo!

Kikwete alikuwa anaenda kila event mpaka birthday part ww mwananchi imekusaidia nini mpaka sasa?
Hiv wewe kuja hapa na kuandika imekusaidia nn au umelisaidiaje taifa ? tuanzie hapo kwanza
 
..one of the reasons as to why he keeps escaping from attending these international meetings is that he is afraid of possible plenary sessions where he will be supposed to discuss key issues happening in the world and tz...and he knows he won't be able to do that...and he doesn't want to shame himself or the nation

......language and logical /critical thinking are the key aspects he doesn't possess for a leader....one should wonder how he acquired his PhD...

..he is covering himself by pretending to fight corruption at home...as if those leaders who attend these meetings don't have corruption issues in their countries... So sad....
 
Jamaa alishawahi kusema kuwa Saddam Hussein alikua raisi wa Kuwait kama sikosei....mnategemea nini.

Kama taarifa za mambo makubwa yaliyopita duniani hayajui atayajua ya sasa?? Mfano akiulizwa je kuhusu mauaji ya waislamu wa Malaysia si atafikiri anaulizwa ya Kibiti!
 
Hahaa wabongobwana!!!, safari zilipozidi watu ooh pesazaserikali zinateketea kwa safari za nje, sasaivitena ooh mbona haendi nje.
Hatujui tunachotaka?.
 
Hahaa wabongobwana!!!, safari zilipozidi watu ooh pesazaserikali zinateketea kwa safari za nje, sasaivitena ooh mbona haendi nje.
Hatujui tunachotaka?.
Unajua tofauti ya KUZIDI na KUTOKUWEPO KABISA? Au ndio ndondocha, unaenda kwa remote ya Lumumba?

Ukiambiwa antibiotics ni mbaya, haimaanishi usizitumie hata utakapopewa ukiumwa kisonono. Amsha kichwa dada
 
Kwa kebehi zako zile dhidi ya Taifa letu Tanzania kwa kuzipitiasha kwa Rais wetu mpendwa, Dr. Magufuli, kuna uwezekano mwingine mkubwa una wasiwasi wa kikejeli dhidi ya Dr. Maiga. Nakushauri tafuta CV yake. Kwa uchache Dr. Maiga aliweza kugombea urais kupitia chama Tawala nchini Tanzania. Hilo tu lilitosha kabisa, mtanzania mwenzagu, BAK, kutokudhubutu kutukebehi watanzania kwa uamuzi wa Rais wetu Dr. Magufuli kumtuma Dr. Maiga kwenda kutuwakilisha kwenye UNGA. Nakushauri uache tabia hii mbaya ya kutukebehi sisi watanzania wenzako ambao kwa moyo mmoja na wingi wa kura zetu tulimuweka madarakani Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli na viongozi wengine wa kisiasa.

Acha kutetea ujinga na wewe,, kwani akienda atapungukiwa nin???,, Au sisi wananchi tutapungukiwa nini??,, Kwani pesa ngapi za walipa kodi anazitumia humu humu kimya kimya hatujui/tunajua??,, Sisi tunaomba aende,, kutembea sehemu mbalimbali na kujifunza vitu mbalimbali vipya halijawahi kuwa kosa,, ni kama kusoma.

Kitabu,, kila ukurasa unakuongezea kitu kipya,,, wengi wanaosifia hii tabia hawatembea nje ya Tanzania,, kuna mengi ya kujifunza tofauti na kutazama kwenye screen,,,

Sisi tunaomba aende,, kama nikulala na njaa, tulale kwa siku hata mbili,, akitupa sababu tutamuelewa,, haatamii mayai huku,, jukumu la ulinzi, vita ya kiuchumi n.k siyo vya mtu mmoja ni vya kila mwananchi,,, "ila hata hivyo binadamu wanatabia ya kukwepa wasivyoviweza"
 
we need the clean Tanzania,which is the president magufuli's first priority and not traveling abroad.
what makes the country's development not a travel abroad at all.
our former president JK made so many travel abroad and they were even some opposition party chadema among of them...they used to complain of the too much oresidential travels....
but now same chagademas are complaining opposite how?????
Unashindwa nini kuandika kiswahili unachokijua badala yakuchafua lugha za watu?.
 
Back
Top Bottom