Dr Magufuli escapes key international events

Una akili kidogo Ndugu??
Unajua International Diplomacy inazungumza nini hivi sasa Duniani??
Unafikiri Tanzania itaendelea kwa jamaa kujifungia tu hapo Tanzania bila networking??
Wote ambao yeye anawakubali hao akina Kagame wana move to the outside World.
Yeye tu ndio kujifanya eti anajenga nchi kwanza kumbe inasemekana ana kibetri kwenye moyo..!!
Inshort huyu mtu anapaswa kuitangaza Nchi yeye kama Rais.. Na hii sio kazi ya Foreign Minister.
najua na nimesoma IR/International Relation/na nimefundishwa na nguli toka chuo cha taifa udsm prof Muhabe Nyirabu!

Km Tanzania ingekuwa kiti kiko wazi ndo ungekuja kuleta povu lako,Lakin mwakilishi Mahiga yupo!

Kikwete alikuwa anaenda kila event mpaka birthday part ww mwananchi imekusaidia nini mpaka sasa?
 
Look here.. Sijasoma intl relations lakini Sipo Dull kama wewe uliyesomea..

Kwenye hizi meetings ndio Mkuu wa Nchi anapoweza kukutana na Viongozi wengine na kuweka ajenda za Nchi yake kwa mataifa mengine..

Kunakuwa na opportunity za kufanya meetings za one on one na Viongozi mbalimbali wanaokuwa kwenye hizi meetings..

Kwa elimu ndogo tu, ni rahisi kwa Mahiga kukutana na Chancellor Angel Merkel wa Ujerumani au kwa JPM ndio rahisi zaidi, let's say pale UN??

Usiulize kwangu kama raia inanisaidia nini.
Tunazungumzia faida itakayoipata Nchi.

Mfano mdogo tu, JK alimconvince Rais wa Turkey alipo meet nae UN (on one on one) ili aruhusu kuwe na direct flight ya kutoka Instanbul to Dar ili kukuza Utalii wa Tanzania.

Mpaka leo hii ndege ya Turkish Airline ina operate directly from Instanbul to Dar nafikiri karibu mara 4 kwa wiki. Huu ni mfano mdogo tu.

Tunasema Wachina ndio Development Partners wetu wakubwa kwa hivi sasa.
Lakini Rais huyu hajawahi kukutana na Kiongozi yeyote wa China wa level ya juu pamoja na China kumtumia mualiko zaidi ya mara 2.
Wewe unaona ni sawa hiyo??

Na Kenya hivi sasa wametupiku.
Ndio Nchi nafikiri inayoongoza kufadhiliwa miradi yao mingi na China.
Kenyatta ameshakwenda China mara 2.
Na alienda SA kwenye mkutano wa China na nchi zote za Africa akatoa bonge ya speech, anamaliza ile speech Rais wa China akampa "Standing Ovation" na akapata mualiko wa kwenda China na kuifungua Kenya zaidi kwa investors wa China.
Tanzania kwenye huu mkutano wa China na mataifa ya Africa alienda Majaliwa. Alichoongea anajua mwenyewe na boss wake.

Labda angeenda kwenye mikutano kama hii huko nje ndio fursa kubwa zaidi kwa Nchi zingefunguka.

Kuna safari MUHIMU ambazo kama Mkuu wa Nchi lazima azifanye. This is especially kwa hizi Nchi zetu za Dunia ya tatu.
 
Dr.??? Una uhakika na udokta wake huyo jamaa. Ben saanane alihoji akapotezwa
 
..I have not indicated English language only as an issue with him but even the Swahili itself....bigger issue here is lack of logical and critical thinking....in both languages..... You want the proof...go and refer his speeches....especially the ones in swahili....and then come and argue with me if you can.,..You seem to be on the same side of the coin too....
You are still a victim of neo colonialism. One does not have to speak only English in those plenary sessions. As such, your reasoning is antiquated, lugubrious and sardonic; to say the least.
 
Jamani jamani, mwacheni humu humu...I can't imagine when he addresses one of these events...watz tutashindwa kujitambulisha urai wetu huko nje.....huyu ni rais wa kienyeji huko nje itakuwa shida.
rais wa kienyeji hajui ngeli
 
Look here.. Sijasoma intl relations lakini Sipo Dull kama wewe uliyesomea..

Kwenye hizi meetings ndio Mkuu wa Nchi anapoweza kukutana na Viongozi wengine na kuweka ajenda za Nchi yake kwa mataifa mengine..

Kunakuwa na opportunity za kufanya meetings za one on one na Viongozi mbalimbali wanaokuwa kwenye hizi meetings..

Kwa elimu ndogo tu, ni rahisi kwa Mahiga kukutana na Chancellor Angel Merkel wa Ujerumani au kwa JPM ndio rahisi zaidi, let's say pale UN??

Usiulize kwangu kama raia inanisaidia nini.
Tunazungumzia faida itakayoipata Nchi.

Mfano mdogo tu, JK alimconvince Rais wa Turkey alipo meet nae UN (on one on one) ili aruhusu kuwe na direct flight ya kutoka Instanbul to Dar ili kukuza Utalii wa Tanzania.

Mpaka leo hii ndege ya Turkish Airline ina operate directly from Instanbul to Dar nafikiri karibu mara 4 kwa wiki. Huu ni mfano mdogo tu.

Tunasema Wachina ndio Development Partners wetu wakubwa kwa hivi sasa.
Lakini Rais huyu hajawahi kukutana na Kiongozi yeyote wa China wa level ya juu pamoja na China kumtumia mualiko zaidi ya mara 2.
Wewe unaona ni sawa hiyo??

Na Kenya hivi sasa wametupiku.
Ndio Nchi nafikiri inayoongoza kufadhiliwa miradi yao mingi na China.
Kenyatta ameshakwenda China mara 2.
Na alienda SA kwenye mkutano wa China na nchi zote za Africa akatoa bonge ya speech, anamaliza ile speech Rais wa China akampa "Standing Ovation" na akapata mualiko wa kwenda China na kuifungua Kenya zaidi kwa investors wa China.
Tanzania kwenye huu mkutano wa China na mataifa ya Africa alienda Majaliwa. Alichoongea anajua mwenyewe na boss wake.

Labda angeenda kwenye mikutano kama hii huko nje ndio fursa kubwa zaidi kwa Nchi zingefunguka.

Kuna safari MUHIMU ambazo kama Mkuu wa Nchi lazima azifanye. This is especially kwa hizi Nchi zetu za Dunia ya tatu.
direct flight mkulima wa kawaida igurusi mbeya,sikonge inamsaidia nini?

hakuna nchi iliyoendelea kwa kupewa misaada,wacha kupagawa na hizo meeting za kibeberu na kiliberali mambo leo!

kwa mtazamo wako ww unaweza kukaa meza moja na trump nk et akuletee maendeleo Afrika?,hvyo ni vikao vya soga juu ya uchumi wa kibepari na kupora rasilimali za Afrika madini,ardhi mbuga nk na sehemu nyingine km latin na asia kupitia hiyo diplomasia unayoina wewe

hutuishi ktk kisiwa ndo maana Mahiga yupo huko,hizo multilatera na bilateral zitafanyika hata president asipoenda hiyo ndo diplomasia
 
Hawa watu hata hawajiulizi rais wa Botswana amekwenda, au viongozi wa, kwa mfano, Sweden, Denmark wamekwenda? Na hao viongozi wa Afrika waliokwenda watarudi na miradi au mabulungutu ya fedha? Walilalamika oh Kikwete kala miguu ya kuku sasa Magu kaamua kuwakata ngebe. Aende au asiende bado watalalamika tu.
 
hawa ndo watz hakuna kipya hapo zaid ya kunywa na kupiga soga na kurudi.
wanamin hao mabepari watawaletea maendeleo.
 
Magu kumbe nae anawaogopa Wazungu wasiojulikana eenh! Kweli Mkuki mchome Nguruwe kwa Binadamu mchungu wahenga walisema
 
Afadhali alivyoacha kwenda nimesikiliza hotuba za Mugabe na Buhari ni upuuzi mtupu. Trump kaeleza uchumi wa Marekani na nini Marekani itafanya kwa ajili ya Wamarekani na kupambana na adui wa wamarekani.

Hawa marais wa Afrika wamezungumzia Palestina, Rohingnya, Porto Rico, Mkataba wa Paris na na ujinga wa aina hiyo. Kama vile kwenye nchi zao kuko shwari hawana shida yeyote.
 
Afadhali alivyoacha kwenda nimesikiliza hotuba za Mugabe na Buhari ni upuuzi mtupu. Trump kaeleza uchumi wa Marekani na nini Marekani itafanya kwa ajili ya Wamarekani na kupambana na adui wa wamarekani. Hawa marais wa Afrika wamezungumzia Palestina, Rohingnya, Porto Rico, Mkataba wa Paris na na ujinga wa aina hiyo. Kama vile kwenye nchi zao kuko shwari hawana shida yeyote.

Mpaka Puerto Rico!
 
Back
Top Bottom