Dr Magufuli aiteka Kibaigwa

Dr Magufuli aiteka Kibaigwa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12039554_908246409212101_8870486023597889678_n.jpg
[/h]
12039770_908246425878766_6357096520595905940_n.jpg

12033109_908246482545427_8665329946264269148_n.jpg

12039473_908246552545420_1097260992086194878_n.jpg

12065723_908246575878751_8160587374076232614_n.jpg

Rais wa Tano Mh. John Magufuli akiwa Kibaigwa katika kampezi za kijiji kwa kijiji. Hii ndio staili ya ushindi aliyo itumia Rais Barack Obama wa Marekani alipo kwenda "County kwa County" na kuwasambaratisha Republicans.

Mwaka huu ni Kazi Tu na sio maonyesho ya Helicopter ya UKAWA.
 
Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!
 
Ameiteka kivipi wakati miaka yote 50 ni ccm ndio walikuwa wanatawala?. Isitoshe watu aliowapata kibaigwa sio wengi kama alivyowapata lowassa alipoongozana na lissu lilikuwa nyomi acha!!!. Lini mtakuwa wakweli nyie ccm?

Leo vipi hizi burudani zitakuwepo? 1443616655061.jpg
 
Hapa Kazi Tuu.

Wasanii Pia wakiwemo Kina Diamond kwann nyomi lisijae...??
Hapa Kazi Tuu na mwaka huu wataelewa tu watake wastake..

Ingawa Mahospitalini huwa hakunaga Dawa na wagonjwa huwa wanashea malazi lakini ni lazima mtuchague mtake msitake..
Hapa Kazi Tu.

Magufuli For Change. Huku maisha ya watanzania yakizidi kuwa magumu Day after Day...

Nikiwa notoka nyumbani asubuhi naelekea kwenye mizunguko yangu huwa nakuta vijana wengi tu wakiwa mtaani hawana Ajira lakini huwa najipa Moyo One day Yes machizi watatusua...Hapa Kazi Tu.

CCM inafaa kuongoza kwa kuwa inaongoza kwa kuwalinda wanyama Pori wetu Kama Tembo na Twiga.

Magufuli For Change.
Ila Nitakachokifanya 25 octoba Siri yangu..
 
Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!

Nimejiuliza hilo mara nyingi na nafikiri kuna sababu kadhaa ikiwemo ya kusomba watu-shart likiwa kuvaa sare ya chama, sare kununuliwa bei lahisi....na kushonewa bule kwa walio napesa zao wakiwa washirika wa magamba na wafisadi---wasiolipa/au wategaji wa kulipa kodi. Hii inachangiwa pia na wenye magari kujikomba ssm ili wasitozwe kodi na hivyo kuwa tayari lkusomba watu bule bila malipo.
 
Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!
hapo mamamkwe ndiyo uelewe kuwa ushindi kwa ccm niwakufikia tu. angaria hiyo kijani no mtaji tosha ya hiyo kijani ikimwagika ile tarehe25 tayari kamba zitakuwa zimeshawaingia kwahilo tu mamamkwe usihofu.
 
Mbona umat unaonekana sare za ccm tu inamaana hakuna wananch wa kawaida wanaudhuria mkutano wa ccm
 
[h=3]
12039554_908246409212101_8870486023597889678_n.jpg
[/h]
12039770_908246425878766_6357096520595905940_n.jpg

12033109_908246482545427_8665329946264269148_n.jpg

12039473_908246552545420_1097260992086194878_n.jpg

12065723_908246575878751_8160587374076232614_n.jpg

Rais wa Tano Mh. John Magufuli akiwa Kibaigwa katika kampezi za kijiji kwa kijiji. Hii ndio staili ya ushindi aliyo itumia Rais Barack Obama wa Marekani alipo kwenda "County kwa County" na kuwasambaratisha Republicans.

Mwaka huu ni Kazi Tu na sio maonyesho ya Helicopter ya UKAWA.

Mkuu kiongoz wako anamatatizo ya moyo awezruka na helicopter kutoka na mitikiso mikubwa anaweza kutufia bure so msema hatumii helicopter je nchemba anarukaga na ungo nn
 
Hivi ni kwa nini Ummati wanaonekana kama sio wananchi wa kawaida bali ni wanachama wa CCM kwa sababu wengi wao wana sare za chama, ina maana wanaohudhuria hii mikutano ni wanaccm peke yao au hizi sare wanazitoa wapi tena mpya !!!

Wenye sare si wanachama!
 
Ameiteka kivipi wakati miaka yote 50 ni ccm ndio walikuwa wanatawala?. Isitoshe watu aliowapata kibaigwa sio wengi kama alivyowapata lowassa alipoongozana na lissu lilikuwa nyomi acha!!!. Lini mtakuwa wakweli nyie ccm?

Et kilajambo nyie wajuaji taabu kweli
 
hapo mamamkwe ndiyo uelewe kuwa ushindi kwa ccm niwakufikia tu. angaria hiyo kijani no mtaji tosha ya hiyo kijani ikimwagika ile tarehe25 tayari kamba zitakuwa zimeshawaingia kwahilo tu mamamkwe usihofu.
Kweli Dada !!
 
[h=3]
12039554_908246409212101_8870486023597889678_n.jpg
[/h]
12039770_908246425878766_6357096520595905940_n.jpg

12033109_908246482545427_8665329946264269148_n.jpg

12039473_908246552545420_1097260992086194878_n.jpg

12065723_908246575878751_8160587374076232614_n.jpg

Rais wa Tano Mh. John Magufuli akiwa Kibaigwa katika kampezi za kijiji kwa kijiji. Hii ndio staili ya ushindi aliyo itumia Rais Barack Obama wa Marekani alipo kwenda "County kwa County" na kuwasambaratisha Republicans.

Mwaka huu ni Kazi Tu na sio maonyesho ya Helicopter ya UKAWA.

1443639912439.jpg 1443639936097.jpg nyomi pamoja na kangamoko na upuuzi uliopitiliza
 
Back
Top Bottom