Dr. Magufuli "a man with no vision"

Dr. Magufuli "a man with no vision"

tunachohitaj watz sio history iliyopita tunachohtaji watanzania ni kumake new history,hata akiwa anajua kiundani muungano haitasaidia kwenye kubadili hali ya nchi yetu....awe alikua mwnykt wa shina au awe co mwnykt wa shina as long as atatupeleka tunapopahtaji he worth to be our leader

nini maana ya new history?? unajua unachozungumza kweli wewe
 
Hilo fisadi Magufuli lirudishe kwanza nyumba zetu. Vinginevyo litapigwa tu.
 
Unawekaje vision wakati unajua life span yako fupi unairefusha na vikope kutoka samunge?
 
kipindi cha utawala magufuli wizara ya ujenzi na rushwa ndio imekithiri kwenye taasis zake,ni kweli mpaka sasa hana vision ya wapi anataka kuwapeleka watanzania,
 
Magufuli ni moto mwingine huyo fisadi wenu hafui dawa Lowasa arudi tu kwenye ishu zake za madawa ya kulevya na ufisadi.

Angalia brother Sept 1 inakaribia ikiwezekana futa post za zamani utaishia segerea!
 
Body language yake anapokuwa na kikwete ni kama baba mwenye kampuni anamfundisha mwanae mtiifu jinsi anavyoendesha kampuni yake ili aiendeshe huku akimsimamia kwa karibu. Huyu mwanae atakuwa kila siku anarudi kwake baba hapa nifanyeje, vipi nikifanya hivi baba ni sawa? etc etc
 
Magufuli hajiwezi,akipata zali la mental akawa upresident atawatumikia maccm mpaka anaondoka...ili kulipa fadhira mana mpaka sasa haamini km kweli amechaguliwa kupeperusha bendara ya mafisadi
 
Kimaingi Ilani ya chama ndo vision ya kwanza na yamsingi kabisa katika kuletea nchi mabadiliko,,then mitazamo ya mgombea ni nyongeza na ndo mana Ilani ya CCM ina kila kitu unachodhani kina hitajika kwa sasa kinachotakiwa ni mtu makini atakaye weza kuisimamia na huyo si mwingine bali ni JPM..poleni nyinyi ambao hata ilani yenu haijulikani mnategemea kuongozwa kwa maono ya lowasa,,maono ya kuwajali bodaboda,mama ntilie na kumtoa babu seya jela hiyo ndo vision ya mgombea wenu..!!!

Just to wake you up, Ilani ya ccm ya mwaka huu itakuwa ni ilani ya 10 toka ianze kushiriki chaguzi za taifa hili.

Matokeo yake, tafakari mwenyewe!
 
He is too reactive than Proactive! Rejea kwenye Uwaziri wake wa Ujenzi na Uvuvi ndio utajua huyu jamaa mengi ni hasara kubwa!

Pokea like mkuu,

Huu ni udhaifu mwingine mkubwa wa Magufuli.

Kwa taifa linalohitaji kuwa Re-organised kama Tanzania, ni hatari kubwa kuwa na viongozi reactive. Tutajikuta kwenye misuguano kila siku
 
Tuwaache wa tz waamue wanachotaka hata km hana vision
 
msimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia

Si kuna mtu alisemaga ni kama bekitatu mchapakazi na mwenye bidii😱
 
tatizo wabongo hatuendelei kwa kutoangalii wenzetu wapoje,marekani kitu kilichompa mor credit obama ilikua ni presidential debates,hvohvo kwa kenyatta....na hyo ndo sehemu pekee ambayo vision,mission na weakenes zao tutaweza kuziona,kwa sababu watakua wanaulizwa maswal ya muhimu sio kama kwenye kampeni kila mmoja anaitangaza ilani ya chama chake without wthout any questions frm any1

hatuna muda wa kufanya mdahalo na mwana ccm,majukwaa ya kampeni yanatosha,mbona hamkumwambia JK aitishe mdahalo kabla ya kukata wagombea urais? ccm subirini oktoba mkatwe,hatutaki mdahalo
 
Mamvi hata kuinua mkono shida

Ugonjwa ni mambo ya Mungu we mwenyewe ukipelekwa kupimwa hapo haupo salaama! Mbona nanii anakula mashudu na kakaa magogoni miaka 10? Ongea vingine afya muachie Mungu.
 
A blind man is leading a blind man to hell.....; ''JK anmwongoza Makufuli kwenye hafla mbalimbali kumnadi..!!??'':A S confused:
 
Tuwe wakweli tu sometimes kwa sasa tunahitaj kiongozi mwenye kauli na mfuatiliaji kama Magufuli,Lowassa ni kiongozi mzuri lakin sio kama magufuli unaposema hana vision kwani fomu alishawishiwa na nani mimi nina hakika akipewa nchi itanyooka mbali na yote kiongozi mzuri hawezitoka nje ya ccm ndio maana Lowassa ni mtoto wa ccm anaetawala kwa jirani ukawa na ni kiongozi mzuri
 
Na barabara anazojenga zote ni chini ya viwango.

Na ile MV Magogoni aliyoizindua kwa mbwembwe na kutaja gharama kubwa zilizotumika kuinunua umefanya safari moja tu ya kwenda na iliporudi hadi leo hii ni mbovu.
 
Lakini hawataweza hilo fisadi lao limekwisha kutembea kwenyewe ni shida kabisa.

Halafu mna akili nzito nyiee, mmekwishaambiwa hivi;
Hata kama Lowasa ni fisadi sana au kidogo au mnamsingizia tutamchagua. Na Magufuli hata awe ni malaika au jembe what ever jina zuri, hatutampa kura zetu ng'ooo, mpo hapo. Kazaneni tu na goli la mkono kama ni hakika mtafanikiwa
 
Back
Top Bottom