Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ujumbe mzito kwa TRA na Yono wasimbeze

Najua ila jaribu kuskiliza hiyo interview jamaa inaelekea alikua anacheza double standard, kwasababu anadai hata wale mafia walikua wanataka mil dollar kadhaa, so huyu bwana alikua KGB kisha anauza bendi US Army,
Warusi wakishtuka lazima wakutafune.
Na hapo nafkiri wife wake anahusika 100%
Aisee in short huyu jamaa yetu kichwani zimeyumba.

Au anajua anachokifanya.
Usicheze na urusi baba.
Been there 8 years.

Jamaa wengi nimeona wakifa kizembe na wengine wakiwa mentor kindezibsana wanakupigisha mastori ya billions dollars.

In short nitaanzishs uzi wa life la wanafunzi wa .ru na dramma zao.

Na kitu gani kinasababisha.
Na huwa wakiondoka hapa wanakuwa na expectation gani, familia zinaexpect nini kwa mtoto wao aliyepo ulaya.
Na sasa wanachokikuta kule, na wanachowaambia ndugu zao.

Na akirudi huku ana akirudishwa huku ni aibu. Anarudi na pum** tu, ndugu wanategemea urudi kutoa msaada.

Sasa wengi wao anamua kujifanya kuwa chizi.

( kama hutoelewa concept yangu fuatilia thread nitakayoanzisha)
Cc Inna Maserati
 
Dr. Louis anaongea sense, na waliomchafua wanaweza wakajikuta mahali pabaya sana.
Wait and see
Nimemuelewa sana, hata kama atakuwa ni mjanja wa mjini, HE'S A GENIUS.
Napenda sana awe kaongea ukweli na mzigo uingie watu waaibike na jamii ijifunze DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVER.
 
Aisee in short huyu jamaa yetu kichwani zimeyumba.

Au anajua anachokifanya.
Usicheze na urusi baba.
Been there 8 years.

Jamaa wengi nimeona wakifa kizembe na wengine wakiwa mentor kindezibsana wanakupigisha mastori ya billions dollars.

In short nitaanzishs uzi wa life la wanafunzi wa .ru na dramma zao.

Na kitu gani kinasababisha.
Na huwa wakiondoka hapa wanakuwa na expectation gani, familia zinaexpect nini kwa mtoto wao aliyepo ulaya.
Na sasa wanachokikuta kule, na wanachowaambia ndugu zao.

Na akirudi huku ana akirudishwa huku ni aibu. Anarudi na pum** tu, ndugu wanategemea urudi kutoa msaada.

Sasa wengi wao anamua kujifanya kuwa chizi.

( kama hutoelewa concept yangu fuatilia thread nitakayoanzisha)
Cc Inna Maserati
Utoage bas hiyo story na ww
 
Dar es Salaam.
'Bilionea' wa nyumba za Lugumi, Dk Louis Shika ameachiwa na kwenda kupanda daladala kuelekea nyumbani huku akisema mpango wake wa kununua nyumba za Lugumi uko palepale.

Baada ya kuachiwa na polisi leo Jumanne jioni amesema kwamba bado mpango wake wa kununua nyumba hizo uko palepale.

Amesema anachosubiri sasa ni fedha kuingizwa kwenye akaunti yake na kulipa asilimia 25 anayodaiwa.

"Siku nikipeleka fedha nataka Yono na TRA waite waandishi wa habari waone na wautangazie umma," amesema.

Amesema vyombo vya habari vimetoa taarifa zake lakini vitaumbuka siku akienda kupeleka fedha hizo.

Ameendelea kusisitiza kwamba nyumba hizo zinahitajiwa na kampuni yake ambayo hakuitaja.

Njiani wakati akielekea kwenye kituo cha daladala cha Mnazi Mmoja, Dk Shika alikuwa kivutio kwa watu aliokuwa akipishana nao.

Alipopanda daladala la Tabata Mawenzi, kondakta alimkaribisha kwa kumweleza karibu mzee Shika.

Kauli hiyo iliwaamsha abiria ambao walikuwa na hamu ya kumwona.

Dk Shika alipanda daladala na kusimama huku akionyesha tabasamu lisiloisha

Heshima kwako Dr. Shika. Huu ni ujasiri wa kuigwa.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu huyu mzee, he is a smart person ever, ni mzee ambaye kwanza mtiririko wa maelezo yake tangu nilipomsikia hajajichanganya au kuongea kwa ubabaishaji wowote, he is confident, passion and calm to all explanations he has been giving to public.

Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

Huyu mzee looks to funny maana anavijimaneno vyake, mfano HIKI KIMEO changu nimependa mno, afu he seems to be real African (Tanzanian), local beliefs kuwa alishika kengere majibwa yakaufyate ameniacha hoi how he manage to pray smart and its real he still proud of his African originally.

DHANA POTOFU KUHUSU HUYU DR. SHIKA.

Nimeona watu wengi hasa waandishi wa habari wakihusisha sana, mwonekano wake na kusahau kuwa makini na content ya statements zake, he is really smart inapokuja suala la kujieleza, na nina sikitika kuwa Tanzania tunawaandishi wenye kiwango chini sana katika kufanya uchambuzi wa habari na kufuta ukweli.

Mwisho, watanzania pia tu watu wasiojiweza katika kuchanganua mambo, binafsi sijisifii ila nina uwezo mkubwa wa kufanya analysis za statements za mtu na kuhisia kupata zaidi ya 80% ya ukweli wa jambo, mfano mimi ukitaka kuninyima ukweli usiongee otherwise nitajua upende usipende!

Let's give time Dr. Shika, soon watu mtafyata mikia yenu kama yale majibwa yaliyofyata mkia tu baada ya dr. Shika kushika pumbu.

Tetesi: - Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Video: Dr. Shika "MIMI SIO MBABAISHAJI" aonyesha Kampuni yake

Full interview: Dr Luis Shika
 
Russia hakufai ila wale wanaopenda kuabudu nchi za nje wataendelea kwenda.

Narudia Russia hakufai kama Oman kusivyofaa kwa mabeki tatu wanaolilia kwenda kila siku
 
Nimefuatilia kwa ukaribu huyu mzee, he is a smart person ever, ni mzee ambaye kwanza mtiririko wa maelezo yake tangu nilipomsikia hajajichanganya au kuongea kwa ubabaishaji wowote, he is confident, passion and calm to all explanations he has been giving to public.

Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

Huyu mzee looks to funny maana anavijimaneno vyake, mfano HIKI KIMEO changu nimependa mno, afu he seems to be real African (Tanzanian), local beliefs kuwa alishika kengere majibwa yakaufyate ameniacha hoi how he manage to pray smart and its real he still proud of his African originally.

DHANA POTOFU KUHUSU HUYU DR. SHIKA.

Nimeona watu wengi hasa waandishi wa habari wakihusisha sana, mwonekano wake na kusahau kuwa makini na content ya statements zake, he is really smart inapokuja suala la kujieleza, na nina sikitika kuwa Tanzania tunawaandishi wenye kiwango chini sana katika kufanya uchambuzi wa habari na kufuta ukweli.

Mwisho, watanzania pia tu watu wasiojiweza katika kuchanganua mambo, binafsi sijisifii ila nina uwezo mkubwa wa kufanya analysis za statements za mtu na kuhisia kupata zaidi ya 80% ya ukweli wa jambo, mfano mimi ukitaka kuninyima ukweli usiongee otherwise nitajua upende usipende!

Let's give time Dr. Shika, soon watu mtafyata mikia yenu kama yale majibwa yaliyofyata mkia tu baada ya dr. Shika kushika pumbu.
Sawa time will tell...
Lakini kilikuja kwa meli
 
Mtu huyu ni mgonjwa, amini hivyo,

Mzee wangu alikuwa mtangazaji Pale radio Tanzania miaka ya 70+, baadae akapata matatizo ya akili,

ukimwona huwezi jua kama anatatizo na mbaya zaidi ukimwambia kumpeleka kwa matibabu mnagombana,

cha kushangaza anauwezo wa kuelezea kila kila kitu na matukio kwa mpangilio wa tarehe na mwaka

, naye hivo hivo anaamini kuwa baada ya kufukuzwa kazi kutokana na kuvurugikiwa akili anadai kuwa serikali anaidai pesa mingi kuna siku watamlipa na yuko kwenye mchakato wa kufatilia alipwe,

mbaya zaidi yuko nyumbani tu wala haoneshi nia ya kufuatilia, na yuko smart sana kwenye lugha ya malikia, kwahiyo kwa dhana hii dr shika hana lolote ni mgonjwa ila kumtambua ni ngumu mpaka watu wake wa karbu
 
Russia hakufai ila wale wanaopenda kuabudu nchi za nje wataendelea kwenda. Narudia Russia hakufai kama Oman kusivyofaa kwa mabeki tatu wanaolilia kwenda kila siku
Kule Oman kuna ukatili wa kufa mtu kwa wasichana wetu, dola ikatae iseme sijuwi nini lakini ukweli ni kwamba yanayoendelea kule yanatisha, zaidi ya utumwa, wanafanyakazi masaa mengi, mazingira ya kulala issue, wamenyang'anywa pasi za kusafiria, wanatishwa, posho ndogo, wanabakwa kote kote!
Mpaka lini?!
 
Back
Top Bottom