Dr. Mwigulu Nchemba
Tanzania Prime Minister
- Feb 25, 2012
- 419
- 2,191
Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.

Siasa za Chadema mm zinanikera sana, inamaana mnapoanza kumnadi Dr. Kitila namna hii kuchukua Iramba 2015 itakuwaje akijitokeza mwanachama mwingine akalitaka jimbo? Ndiyo yaleyale ya Dr. Slaa na urais 2015 mtu mwingine akitangaza nia eti ni msaliti.
Wewe kingukitano sijui ni mnyiramba wa wapi usiekuwa na akili sisiemu itakusaidia nini au ndo ww uliyepewa ka ruzuku na riz1 nini!
Kitila Mkumbo ni chaguo la wanaIramba na Dr.W.Slaa ni chaguo la watanzania.Huo ndiyo ukweli hata kama ni mchungu namna gani umeze tu.
Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.
Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.
- sEMA NI CHAGUO LAKO WACHENI KUONGELEA WATU AMBAO HAWAJAWATUMA, SEMA HAO NI CHAGUO LAKO!1
LE MUTUZ
- DUH! Saafi sana ujumbe mzito sana I hope wahusika wameusoma vizuri rangi zake!!
le mutuz
Malungu acha kutumiwa au kutoa hoja kwa kutumia thread za jf. Hakuna kata, wala kijij,wala kitongoji, wala mtaa wala familia nzimanzima niliwahi kupata upinzani. Nimetoka ziara hivi majuzi watu wananing'ang'ania mpaka hawataki niondoke. Kisharita nilifanya mkutano watu zaidi ya 500 mpaka saa mbili usiku na nimeondoka watu wamebeba majani mabichi. Nilikuwa kisiriri wakasema wewe ni malaika sio mbunge. Juzi ndago nimeongea watu wakalua machozi nikapewa zawadi mbuzi 8 vitambaa kumi nishone suruari.sijawahi kwenda eneo nikafyonzwa au kuulizwa swali la kejeli. Nitajie acha kijiji familia nzima inayonikataa. Kama mimi mwongo mwacheni mtu wenu aje majibu yatatoka kwa wenye mamlaka. Hujui hata uwezo niliowajengea wanyiramba mpaka sasa. Nimepeleka mradi wa over 600milion mingela, over 600 milion ndago, over 100 milion kyengege. Barabara ya mlimani kidaru imepanda daraja. Mtoa shelui iliyokuwa hapitiki hata kwa miguu bila kuvua viatu tangu uhuru nenda leo. Bado ya ntuike tyulia kidaru mwaka huu inapanda na kuwekewa fedha. Sina mashaka hata chembe. Hii habari ya kutokuwapa watu pesa subiri uwe mbunge usiwape ili mimi kwa dini yangu najua KUSOMESHA YATIMA NI IBAADA NA WALE WALIOFAULU MAALUM WAZAZI HAWANA KITU NITWAENDELEA KUWASOMESHA. ANAECHUKIA HILI ATAPAMBANA NA MUNGU. MBONA NDUGU YENU ALIJENGA KIRABU CHA POMBE NA KUWANUNULIA WATU POMBE? IPI HERI POMBE AU KUWAGAWIA YATIMA?
Shikamoo baba. Kitila Mkumbo hana mpinzani Iramba.Samahani Baba kama nimekukera ingawa mkubwa hakosei.
Mkuu Mwigulu Nchemba kama umefanya yote hayo unababaika nini mpaka unamkufuru Mungu kujiita Malaika? Waache wanaIramba wataamua wenyewe wakati ukifika.Kwanini unakuwa na hofu kubwa hivyo unaposikia Kitila Mkumbo ameombwa na wanaIramba kuwa mgombea wao? Acha demokrasia ifanye kazi yake.
Mimi natokea Kiomboi na kwa kweli Mkumbo hawezi pata hata kura 500 muulizeni kilichompata kwenye vikao bilivopita kuanzia kiomboi hata watu mia hakufikisha ,pamoja na kutugawia kalenda box zima zimewasaidia mama ntilie huku old kiomboi na na na kiomboi na kufunguia maandazi ,hapati kitu hakya nani hamuwajui wanyiramba nyie ,chezea kabila makini ,nkundu zani inye leki mwisigo ni anilamba totomi kwanso
Baba wewe si ndiyo unajipendekeza ili uonekane? Hivi baba kwa umri wako Mwigulu Nchemba si kama mtoto wako wa tatu hivi?
- Kama wewe unavyojipendekeza uonekane na Chadema kwani Mwigulu anaweza kuwa mtoto wa ngapi wa Mwenyekiti wako? maana huwezi kumlinganisha na Slaa itakuwa aibu au? ha! ha1
le mutuz