Mdutch
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 214
- 77
Kama inavyosomeka kutoka kwenye ukurasa wa usokitabu wa Katibu Mkuu wa BAVICHA,
Sehemu ya watoa mada wa kongamano la kesho ni pamoja na Dr. Kitila Mkumbo atakayezunguzia Elimu ya Tanzaia na uhuru wa taifa.
Pia Msanii Prof J atakuwa sehemu ya watu watakaonogesha kongamano hilo
Mada nyingine za Kongamano hilo ni;
Mchakato wa katiba kwa ajili ya taifa jipya la miaka 52 ijayo na John Mnyika.
Miaka 52 ya uhuru wa na umiliki wa rasilimali za Taifa na Tundu Lissu
Vijana na ukombozi wa pili wa Tanzania na Mabere Marando
My Take:
Land mark hapatatosha na ilibidi shughuli hii iwe sehemu kubwa zaidi.