Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

I think Dr. Slaa has bigger and better chance to lead this country than anybody in Chadema.
 
Lol..omr..
Huyo kitila hata hajawahi kuwa balozi wa nyumba kumi.
Alikuwa Rais wa Daruso, so ana uzoefu wa kuongoza organization korofi, hawezi kushindwa kuongoza nchi ya mambumbu kama Tanzania.
 
Nakiri kukosea kutumia neno president badala ya chairperson. Hata hivyo nilisema kama Mbowe hatagombea, ungeelewa tu kuwa Mbowe ni Chairman si mgombea urais. Swala la Kaskazini ni political strategy tu, ili kufuta dhana kuwa chadema ni chama cha kaskazini Chairman atoke maeneo mengine ya nchi
 

takwimu zako feki. Kanda ya ziwa karibu wote wakristo. Kaskazini pia. Nyanda za juu kusini. Waislam wako pwani na kanda ya kati tu wewe!
 
Maoni ya wanasiasa hayo..haya..

Wengine sisi huangalia chama mbadala bora kuliko CCM... Kwa sasa ni CDM... Ila mambo ya aina hii yanahitaji uangalifu mkubwa... Vinginevyo,huweza kuzua makundi na hasa itakapofikia 2015...
Mtu atajinadi,kuwa tangu 2012 alikuwa anashawishiwa na wanachama na wapenzi wa CDM... Akiulizwa ushahidi,mitandao ya kijamii... Hasa JF!
 
Tatizo lake ni njaa kali na mroho wa madaraka ni muongo kupindukia pia ni mnafiki kama wanasiasa wengine. Wasomi kama huyu ni pasua kichwa.
 

Jamaa yangu sijui unajisikiaje leo kuhusiana na uzi huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…