chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 903 May 2, 2012 #41 Jamani mbona gazeti hili la mwananchi halipatikani kwenye mtandao
MVUMBUZI JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 5,182 Reaction score 2,330 May 2, 2012 #42 Chapakazi mkuu unawekeza na muda si mwingi utavuna tu!!
Sir oby JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 331 Reaction score 79 May 2, 2012 #43 mkumbo ni jembe, ful ujasir, ni mwanamapinduz kwel kwel sio kama hao ma dr wengne wanaogopa eti watafukuzwa
mkumbo ni jembe, ful ujasir, ni mwanamapinduz kwel kwel sio kama hao ma dr wengne wanaogopa eti watafukuzwa
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,068 Reaction score 5,558 May 2, 2012 #44 ZWANGE said: ya si si emu hukohuko! Click to expand... Acha kuingia jamvini ukiwa umekunywa chang'aa. Wa hukohuko ni chama makini(CCM) au chama uchwara(CDM)?. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
ZWANGE said: ya si si emu hukohuko! Click to expand... Acha kuingia jamvini ukiwa umekunywa chang'aa. Wa hukohuko ni chama makini(CCM) au chama uchwara(CDM)?. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,176 May 2, 2012 #45 Kiranga said: Huyu Dakta kawa critical kivipi kuleta mabadiliko chamani mwake kwanza? Swali tu. Click to expand... Kama kungekuwa na mchakato wa wachagiaji hapa jamvini ambao sio bendera fuata upepo na hatimaye usinge shinda ni ngesikitika sana
Kiranga said: Huyu Dakta kawa critical kivipi kuleta mabadiliko chamani mwake kwanza? Swali tu. Click to expand... Kama kungekuwa na mchakato wa wachagiaji hapa jamvini ambao sio bendera fuata upepo na hatimaye usinge shinda ni ngesikitika sana
CHIHAYA Senior Member Joined Mar 12, 2012 Posts 102 Reaction score 25 May 2, 2012 #46 Kutokuwa Prof hakuzuii mtu kufikia malengo ktk maisha yake ilimradi hayo malengo hayahitaji hiyo title. Go on Daktari, we appreciate your movements!!!
Kutokuwa Prof hakuzuii mtu kufikia malengo ktk maisha yake ilimradi hayo malengo hayahitaji hiyo title. Go on Daktari, we appreciate your movements!!!
CHIHAYA Senior Member Joined Mar 12, 2012 Posts 102 Reaction score 25 May 2, 2012 #47 Benson B atakusikia ndugu!!!???. Ukweli unaumaaa!!! Keep it up Daktari!!!