Huyu Dakta kawa critical kivipi kuleta mabadiliko chamani mwake kwanza?
Swali tu.
Ajila yake sijui, na kama bado hajwa Prof. CCM Tawi la Mlimani watachinjia baharini tu
kibaraka wa zitto at work
Hao ndio aina ya wasomi ambao taifa linawahitaji sio akina Bana.
Kitila tumekuandalia wizara. Chapa kazi huko uliko
kibaraka wa zitto at work