Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

Joined
Dec 20, 2013
Posts
25
Reaction score
15
Kitila amruka Slaa

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo amesema kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa kuwa alikiri kwamba Zitto alikuwa akiujua waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013, ni za kutunga.

Juzi, wakati akieleza uamuzi wa kikao cha Kamati Kuu kuwafukuza uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na Dk Kitila, Dk Slaa alisema wakati akihojiwa na Kamati Kuu, Dk Kitila alisema Zitto alikuwa akiujua waraka huo.

"Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo."

Mwigamba afafanua

Mwigamba alisema hakuhojiwa na Kamati Kuu kwa sababu yeye ni Msabato na Siku ya Sabato, hairuhusiwi kufanya jambo lolote zaidi ya kumwomba Mungu. "Waliniita Ijumaa (Januari 3) ili nihojiwe lakini mpaka saa 12 jioni sikuwa nimehojiwa na niliwaeleza kuwa jua likizama sitakubali kuhojiwa kwa sababu itakuwa imeanza Siku ya Sabato," alisema.

Alisema kikao cha Kamati Kuu kiliendelea Januari 4, mwaka huu, pia hakuweza kwenda kuhojiwa kwa sababu ilikuwa Sabato, pia alikuwa kanisani, "Niliwaambia kuwa nipo tayari kuhojiwa Jumapili, hawakunijulisha kama wameridhia."
 
Dr Slaa anakiwanda cha uongo

Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake

Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo

Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae
 
Tunaomba namba ta kadi yako na tawi lako na jina la mwenyekiti wa tawi lako ndiyo tuthibitishe kuwa wewe kweli ni mwanachadema, vinginevyo wewe ndiyo tuachie chama chetu.
 
una assume kuwa alichokisema kitila ni ukweli kuwa hakusema hayo mimi na wewe hatukuwa pale kwahiyo hatujui kuwa ni kei au si kweli. hicho ndio kinaitwa critical thinking kwamba you have to get all the fact ili kuweza kutoka conclusion
 
Gazeti la Mwananchi.... “Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo.”
Kitilya alikubalije kuhojiwa bila kurekodiwa. Na si yeye alichelewa kuhojiwa kwa kuwa alikwenda kumtafuta mwanasheria. Kama alikuwa na mwanasheria wake kwa nini asimburuze Slaa mahakamani kwa kusema uongo. Kimsingi ile taarifa haikuwa ya Slaa bali ya CDM na CC yake. Angesema tu kuwa taarifa ya CC haikuwa sahihi badala ya kumtaja Slaa moja kwa moja. You can do the math ujue lengo la hii habari lilikuwa ni nini
 
Dr Slaa anakiwanda cha uongo

Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake

Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo

Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae

mbona hukuwah kuyasema haya siku zote kama kweli chadema ni chama chenu? kwanini leo....? msiba wa cdm ukiona wanaopiga mayowe zaidi ni wanaccm juwa kuna namna hapo....
 
Gazeti la Mwananchi.... “Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo.”

Kwahiyo amesema neno hilo tu kisha akanyamaza kimya?
Msaky&Co mnalinajisi gazeti la Mwananchi. Mnazidi kujivua nguo hadharani.
Huyu mwenzenu karekodiwa akiyatamka aliyoyatamka mbele ya CC. Habari ndio hiyo.
 
una assume kuwa alichokisema kitila ni ukweli kuwa hakusema hayo mimi na wewe hatukuwa pale kwahiyo hatujui kuwa ni kei au si kweli. hicho ndio kinaitwa critical thinking kwamba you have to get all the fact ili kuweza kutoka conclusion

kwani alihojiwa na Dr. Slaa au kamati?
Dr. Slaa ni msemaji tu, halafu aliyekiripotiwa zitto kukiri kuufahamu ule waraka ni Samson Mwigamba, siyo Dr. Kitila Mkumbo.
It seems amechanganyikiwa sana.
Kisaikolojia anateseka sana.
 
Slaa mbona mwongo mwongo tu

wewe kweli simbilisi, dr slaa alisoma taarifa ya kamati kuu! sasa atakuwaje muongo yeye binafsi? huyo kitilya anatapatapa tu hana jipya! kazoea uongo ndo maana alishindwa kuthibitisha tuhuma zake kwenye cc!
 
Ningelikuwa ni Zitto, Kitila au Mwigamba muda kama huu ningelikaa kimya tu.

Unamtuhumu kuwa Slaa ni muongo wakati maamuzi yalifanywa na jopo la watu kadhaa na kusomwa na Slaa.

Ina maama maamuzi yale yangelisomwa na Mbowe kama utaratibu unavyohitaji, si ajabu leo hii Kitila angesema Mbowe ni muongo.
 
Ningelikuwa ni Zitto, Kitila au Mwigamba mida kama huu ningelikaa kimya tu.

Unamtuhumu kuwa Slaa ni muongo wakati maamuzi yalifanywa na jopo la watu kadhaa na kusomwa na Slaa.

Ina maama maamuzi yale yangelisomwa na Mbowe kama utaratibu unavyohitaji, si ajabu leo hii Kitila angesema Mbowe ni muongo.
Teh teh teh!Muda si mrefu watakaa kimya tu,hawana jinsi!
 
Tunaomba namba ta kadi yako na tawi lako na jina la mwenyekiti wa tawi lako ndiyo tuthibitishe kuwa wewe kweli ni mwanachadema, vinginevyo wewe ndiyo tuachie chama chetu.

Kweli CDM ni famila ya kambare,baba sharubu,mama sharubu na watoto sharubu,utakuta kiburi choote hicho sababu wewe ni mchaga.
Wewe ni nani mpaka uhitaji yote hayo?
 
Dr Slaa anakiwanda cha uongo

Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake

Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo

Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae

Una uhakika kuwa Dr. Kitila alisema ukweli?
 
Back
Top Bottom