Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,485
Kama hilo ni kweli, kwanini wasiongezee na vyeo vya Luteni Mstaafu Dr. Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki?
NImesoma magazeti na kuangalia luninga za nyumbani na mara kwa mara wameanza au wamepania kumtambulisha Kikwete kwa cheo cha Udaktari wa Heshima. Nikajiuiliza kama wanafanya hivyo kwa sababu yeye mwenyewe anataka wawe wanafanya hivyo au wanafanya hivyo kwa sababu wanapaswa kufanya hivyo? Siyo Kikwete tu bali wanafanya hivyo kwa Karume vile vile.
Nafahamu wote wawili wametunukiwa shahada hizo za heshima. Lakini ukizingatia kuwa wanakuwa kwenye habari mara kwa mara kuna umuhimu wa kuwaita hivyo kila wakati? Mbona Mkapa hawamuiti hivyo au Nyerere?
NI kwanini Wamarekani hawamtambulishi Obama kama Dr. Obama au Prof. Obama?
Labda inamsaidia kisiasa na kimtazamo mbele ya wananchi (maana ana shahada moja tu ya kusomea)..

Mimi naamini kuna wakati ambapo angeweza kutumia cheo hicho cha kitaaluma kwa ujiko kama siku moja akiwa na ujasiri wa kwenda kuzungumza na wasomi wa chuo kikuu kimoja nchini basi hapo mnaweza kumtambulisha kama Dr. Kikwete. Maana siwezi kufikiria kwenye mikutano ya kimataifa wakimtambulisha kama Dr. Kikwete anajisikiaje mbele ya ma Dr. wenyewe?
Ila kama inamfanya ajisikie vizuri.. more power to him..
Ukichunguza kwa umakini taratiiibu umuhimu wa Masters siku za usoni utakuja pungua na ndipo watu watatafuta PhD kwa bidii kama ilivyo Masters sasa hv! PhD umuhimu wake ukipungua sijui nini kitakachofuatia,maana Undergraduate(Degree) ni kama cheti cha form four au six kwa sasa jinsi watu wanavyochukulia.
Mkuu Mwanakijiji CCJ ina ugomvi na Mengi maaana jana nimecheki taarifa ya Habari ya ITV usiku sikuona Press Release yenu, just curous maana as I know kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ya Mengi na Wanamgambo wa CCM
Mchungaji Doctor Mh. Mbunge Mama noninoo

U Dr Tanzania umekosha heshima.
Hata wa heshima !!!How come Karume au Mzindakaya wapewe u dr wa heshima?
Bishop Tutu na Mandela wana u DR wa heshima kutoka top University za duniani .Lakini huwezi kusikia wanajiita .PM wa UK aliyeondoka ,Gordon Brown alikuwa na real Phd,lakini hata siku moja hakujulikana na kujiita Dr Gordon Brown.
Sasa Phd fake za akina Nagu,Kamala,Nchimbi na wengineo ndio zimechafua PHD Tanzania.
Hiyo bold imenikumbusha ya Idi Amin (RIP) wa Uganda : General Field Marshall Conqueror of the British Empire Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea Idi Amin Dada Oumee - Alipenda sana kujitambulisha kwa staili hiyo. Well it "tends to" give "them" more power and authority.