Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
Nimesoma post ya edo kumwembe, nina uhakika lazima atakuwa na ndugu au kimada ambaye kakumbwa na somba somba ya Dr Kigwa,
Dr kigwa anachokifanya kinafanywa na viongozi wengi hata katika baadhi ya nchi zilizoendelea, kumbuka kuwa suala la uwajibikaji lazima liwe na close follow up!
Nakumbuka miaka ya nyuma Putin alishawahi kufanya ziara kwenye Hospitali moja akakuta dr kachelewa kufika bila sababu ya msingi.
Na kuna wakati pia Putin huyo huyo nguzo za umeme zilikatika kutokana na upepo mkali na mji mmoja ambayo upo nje ya Moscow ulikuwa gizani na ilikuwa kipindi cha baridi kali sana na ilikuwa ni mwaka mpya, Putin akawaamuru wale maofisa kwenda kwenye uke mji either wakafix hilo tatizo au waende wakale mwaka mpya kwenye huo mji ambao hauna umeme na ilikuwa ni amri, wao viongozi walikuwa wamepanga kwenda kufix baada ya mapumziko ya new year.
Nadhani mnajua kilichotokea baada ya wataalamu kupewa hio amri.Sasa mbinu za kushtukiza anazofanya kigwa sidhani kama zinahitaji dhihaka hata mara moja.
Dr Kigwa hahitaji cheap popularity yoyote na hakuna haja ya kumkebehi.
Wafanyakazi wanachelewa kuingia kazini bila sababu maalumu then wewe unakuja kumdhihakibwaziribkwa hatu alizozichukua.
Kweli una akili sawa sawa wewe? Unataka mawaziri wasafiri kwenda nchi za nje kqenye warsha?Wanaokebehi ni watoto wa wakubwa na wenye uwezo wa kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Tabu na dharau wanazozipata wananchi kwene hii wizara sidhani kama mtu mwenye akili timamu anaweza kumdhihakibdr kigwa.
Asanteni
Saint ivuga

....Ndio, Rais muda wote anazungukwa na wapiga picha. Akifanya ziara ya ghafla na tukapata picha haishangazi....sasa Naibu Waziri kaamka kafunga geti kuu la ofisi yake saa moja na nusu asubuhi na wapiga picha eti walikuwepo!!!!! Inaelekea aliwaambia 'Njooni kesho nafunga geti saa moja na nusu'.....Hahahahahaha Kuna mawaziri wa JPM wanalazimisha kick balaa....""
nyie mawaziri acheni kuftuzuga..[/FONT][/COLOR]