Nimuunge Mkono Dr.Kingwa kwa hatua stahili aliyochukua Wafanyakazi Wote Haijalishi Wa Serikali ama Sekta Binafsi kuwahi Kazini Na Tabia ya KUCHELEWA KAZINI Sana sana ipo Dar.Fanya utafiti wako mdogo tu Wafanyakazi Waliyo Wengi Utawakuta Vituo vya DalaDala kuanzia Saa Moja Asubuhi Na ni kama Katabia Sugu kwa Wakazi wa Dar.Vituo vingi vya Mabasi ile saa Kumi na moja asubuhi huwa havina Watu wengi na hata Barabara foleni si kubwa.Chakufanya ama Angalizo Sisi Wafanyakazi Tujiangalie KAZI YANGU MASHARTI YAKE NILIYOPEWA KANUNI SHERIA NAZITEKELEZA KAMA MFANYAKAZI.TUACHE VISABABU NCHI ISONGE MBELE KIMAENDELEO NA NI KTK KUFANYA KAZI