MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Huyu bwana sijajua alikua anakilalamikia, sijajua hakuelewa nini kuhusu Tundu Lissu! Naona Mwenyekiti na Lissu waligundua kua huyu bwana alikua anahangaikia asichokielewa na kuamua lumpotezea au kumpuuzia.
Dr Kigwangala kutafsiri sheria ni kazi ngumu sana ndugu yangu sio kazi yako hiyo mwachie Lissu apambane na kina Jaji Massaju,Chenge na kina Mwakyembe! Wewe endelea kuwatumbua kina Dr Mwaka ili kina mama zetu waende mahospitalini, mambo ya sheria we yatazame tu.
Inamaana wabunge wote hawakumwelewa Lissu ila wewe peke yako Dr ndo umemualewa? Hata hujajiuliza tu ni kwanini mjadala umehamishwa kwenye vikao vya kawaida vya kibunge?
Pole sana broo! Utamwelewa Mh Lissu tu taratibu.