Huyu jamaa kwa ukali anaoendelea nao ndani ya bunge, kwa kitendo cha kupinga sera na itikadi za ccm, na kutetea maslahi ya wananchi wa Nzega, hatadumu. Nawaambieni 2015 watamfanya walichomfanya Selelii kwenye kura za maoni. Amepinga bajeti ya wizara ya maji kwa 100%. Anasema naweka kumbukumbu sahii kwenye hansard, ili baada ya miaka 50 wajukuu zake watakaoingia humu wakaisoma hansard wasije wakamwona ni punguani kwa kuunga mkono hoja. Ghasia kaomba mwongozo wa spika kutaka Dr. Kigwangala afute kauli yake ya punguani, akilalamika kuwa inamaana wabunge wanaounga mkono hoja ni punguani. Spika kamtetea Dr. Kigwangala.

Kilio kikubwa cha watanzania ni wabunge wa CCM kuweka mbele ya maslahi ya chama kupita yale ya nchi na wananchi. Sasa baadhi yao wanaonyesha kurekebisha kasoro hiyo tunaanza kuwananga. nani alisema kuwa wabunge weny haki ya kuwatetea wananchi ni vyama vya upinzani tu? Keep it up Dr Kingwangwala!!huyu jamaa anatafuta umaarufu kwa kutetea wananchi kwa sera zisizo za chama chake lengo nikuwa karibu na wananchi mwaka 2015 wamrudishe mjengoni la sivyo Bashe nae anataka kupita hapo hapo!
Sasa huyu kapinga kwa 100%Magamba ndivyo walivyo, ila mwisho wake utasikia anaipa 100% kupita

Mi sijui anakoenda.

j3 akiongea anaiponda serikali,

jumanne akiongea anaisifia serikali yake ilivo makini.

Kind of he is pondering which side to take.

Ni kama Tanzania enzi ya Cold war na Non-aligned movement ili kumega ugali huku na kuchovya mboga kule.
Wana JF tuwe fair..Kakulipa shilingi ngapi ili umpigie kampeni kwa mambo asiyostahili?