Duh mkuu..sasa wewe mbona ndo unatuogopesha? Kama umekabidhiwa kitengo kama cha kufanya maamuzi ya uchumi..si tutakwenda na maji? Maana kama ulivyosema..hukuwahi kumuelewa mwalimu wako wa somo la uchumi. Duh...bongo jamani.......mwanafunzi anapata A na darasani hakuambulia chochote! (na mind you hapo ni University!)...Safari ni ndefu!
Marigwe,Huyu bwana ninamfahamu wakati akisoma Azania Secondary mwaka 1966 hadi 1969. Alikuwa Mwenyekiti wa TYL (TANU Youth League) enzi zile Balozi Christopher Liundi alikuwa Katibu Mkuu wa Vijana. Kasoga tangu shule was very controversial ndipo alipojipa jina la Lenin kumuenzi Lenin Muasisi wa Communist Party ya USSR.
He was not a good Chairman. Sisi tuliokuwa wanafunzi pale na wanachama tukamfukuza uanachama kwa kauli moja na makao makuu ya Vijana wakaafiki. Tukachagua Mwenyekiti mwingine.Tangu shule alikuwa anapenda migogoro na kugawa watu anaowaongoza.
His academic performance was not that excellent. I lost touch with him until recently namuona kwenye media eti Dr na Lecturer. Lakini baadae nikaambiwa Phd yake ya Marekani. Sikushangaa.Hayo yaliyomfika siyajui sawa sawa. Lakini mafao kama anastahili kwa nini asilipwe?
Marigwe,
Mimi namfahamu Kasoga kwa karibu. Alipokuwa Azania mimi nilikuwa Agha Khan.Lakini kuhusu Phd yake Marekani aliisotea kikweli kweli. Unajua kufundisha ni taaluma. Alipomaliza shule Marekani alifanya kazi kwenye ofisi ya uchumi ya gavana wa Michigan. Sababu pekee iliyomrudisha nyumbani ni ugomvi na mke wake wa Kimarekani ambao ulipelekea divorce. Angekabi Marekani yule mama angemfilisi kila kitu.Akaamua kurudi Bongo. Lakini si mtu aliyetulia na anapenda misifa ya kufahamiana na watu wakubwa.
Unadhani hivyo? kwa nini unadhani hivyo? tuhabarisheMkuu
Nafikiri tatizo si kuisotea hiyo PhD, nafikiri kuna kasumba fulani ambako baadhi kamewakaa kwamba elimi ya ugaibuni ni rahisi sana maana ya UDSM ndo yenyewe. Mtu kusoma nje anaonekana amekimbia mitulinga ya udsm maana pale digrii ya kwanza ni zaidi ya masters ya ugaibuni.teh teh teh
Unadhani hivyo? kwa nini unadhani hivyo? tuhabarishe
Mkuu

Kichuguu,Mwanzoni mwa miaka ya tisini wakati Dr. Kasoga anarudi Tanzania, inasemekana alimpa mtoto wa Mwinyi amwingizie koteina lake, labda kusudi akwepe kodi kwa kupitia jina la Mwinyi ambaye alikuwa president wakati huo. Lakini baada ya mizigo ile kufika Dar, yule mtoto wa Mwinyi (nadhani huyu Dr Huessin Mwinyi- not so sure) akageuka na kudai kuwa konteina lote ni mali yake. Kasoga alifungua kesi akisimamaiwa na Attorney Israel Magesa, lakini sijui waliyamaliza vip. Huyu Dr. Kasoga naye ana matatizo fulani ya organization katika kuendesha mambo yake; utadhani kama vile ni mbabaishaji wakati siyo kweli.
Wanaenda kufanya revision !! 😀Kama degree ya kwanza ni zaidi ya Masters,sasa kwanini wanaenda nje kufanya Masters baada ya degree ya kwanza?
Siasa hizi!,,zinapoingizwa bila mpango maalum, na kwa fitna kwenye Elimu matokeo yake ni kama kutia chumvi kwenye togwa...hainyweki tena!
Sasa resourse heads kama hizo tajwa zinatupwa kwa malengo ya siasa ni uwendawazimu!
Tatizo la huyu jamaa ni mwanasiasa wa REDET. Ila kwa upande mwingine kuhusu Kasoga huenda kuna more than kushiriki mgomo. Huyu jamaa alinifundisha part moja ya Microeconomics pale UD kwa kweli sikuwahi kumuelewa hata siku moja alikuwa anafundisha nini japo overall nikuja pata A.
Kama angekuwa anafundisha yeye course nzima basi nafikiri wengi tungerudi Sept Conference. Pia inasemekana alikuwa na sifa ingine ya kupenda ngono kutoka kwa wanafunzi. So lets put all options on the table kuhusu kufukuzwa kwake.
Mkuu
Nafikiri tatizo si kuisotea hiyo PhD, nafikiri kuna kasumba fulani ambako baadhi kamewakaa kwamba elimi ya ugaibuni ni rahisi sana maana ya UDSM ndo yenyewe. Mtu kusoma nje anaonekana amekimbia mitulinga ya udsm maana pale digrii ya kwanza ni zaidi ya masters ya ugaibuni.teh teh teh
Ni vizuri tukapata habari kamili kuhusu kilichowasibu hawa jamaa na mchango wao katika matatizo haya. Hawa wote wanajua kuwa sheria ya utumishi wa umma hairuhusu mwajiriwa kuwa kiongozi wa chama cha siasa. Hata unapogombea ubunge inabidi uache kazi katika utumishi wa umma Kama walivyofanya Lipumba, Safari na Mvungi. Je hawa ajira yao ilikuwaje?