Dr. Kaborou aiacha CHADEMA, Ajiunga CCM


Was you a prophet?
 
yes kuu, statemente hii ni ya kweli na bado itaishi. BTW huyu mzee yupo wapi siku hizi?

Mkuu, mzee Kaborou pamoja na kina Lamwai, Frank Magoba na wengine waliotoka upinzani walishafanywa Big G na miwa utamu ukiisha....!
 
FUSO, Dr. Walid Kabourou anaishi Kigamboni kwa sasa. Huwa nikipita mitaa yake roho inauma kwa unafiki wake. Ndugu zetu walikufa kwa ajili yake
 
Last edited by a moderator:
Dah...Kabour ndio huwa sitaki kumsikia,huyu jamaa alikuwa unabebwa juujuu toka station mpaka ujiji...kati ya wanafiki huyu ntamkumbuka,kesi yake inaunguruma,inaafanyika ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika...wakili ni Hayati Bob Makani akiwa na kiko mdomoni......!!!Wakati haupo tena
 
ni mwenyekiti ccm mkoa wa kigoma alichoka kuhubiri kwenye vijiwe kama anahubiri injili
 
Jamaa baada ya kuihama CHADEMA na kuhamia ccm mchezo ndio uliishia pale. Kwa sasa tunaambiwa ni mwenyekiti wa kijiji huko Kigoma vijijini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…