Dr. Josephine Kimaro wa Makongo juu. Uchapaji kazi wako na Una roho ya kipekee

mbutamaseko

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
736
1,054
Dhamiri yangu inanituma kuandika haya mapema ili kama yumo au anapita pita humu ajue mazuri anayoyafanya yana mark history kwenye maisha ya watu. Kwanza ni open minded maelezo kidogo tu ameshaelewa kwa muktadha wote. Najua sio maarufu na watu hamumjui Sana humu Ila mtambue tu Dr. Josephine Kimaro ana sifa zote za Mtu mwenye utu.

Unafanya nae kazi anathamini kazi yako na anaivalue kulingana. Na yuko fasta kusaidia kwa Hali na mali pale unapokuwa na uhitaji. Ni raha na fahari kufanya kazi na kichwa kama hiki. My sister Mungu akuweke na kama itawapendeza watawala wakuone kwa maslahi mapana ya Taifa hili. Unaweza kulifanyia Jambo taifa letu. Najua unaweza usipende wewe kuwekwa hapa jukwaani Ila uwezo na moyo wako ndio vinafnya na vitfanya usemwe popote kwa mazuri. All the best Dr.
 
JF Expert member...
Ungesema Dr. Anafanyakazi wapi na Amejikita kwenye magonjwa yapi?
Ni Daktari wa Binadamu, Mifugo, Falsafa?
Amefanya kipi cha ziada kiasi cha kumpa pongezi hizo? Serious hapo tungemwaga heri lkn uzi wako umekosa vionjo mkuu.
 
JF Expert member...
Ungesema Dr. Anafanyakazi wapi na Amejikita kwenye magonjwa yapi?
Ni Daktari wa Binadamu, Mifugo, Falsafa?
Amefanya kipi cha ziada kiasi cha kumpa pongezi hizo? Serious hapo tungemwaga heri lkn uzi wako umekosa vionjo mkuu.
Sawa. Nilitaka comment moja tu ingetosha na hakika hii yako imetosha. Mungu mjaalie Dr. Mkuu tunza hii thread siku moja utarudi hapa kumshuhudia.( Amini ntakwambia)
 
Dhamiri yangu inanituma kuandika haya mapema ili kama yumo au anapita pita humu ajue mazuri anayoyafanya yana mark history kwenye maisha ya watu. Kwanza ni open minded maelezo kidogo tu ameshaelewa kwa muktadha wote. Najua sio maarufu na watu hamumjui Sana humu Ila mtambue tu Dr Josephine Kimaro ana sifa zote za Mtu mwenye utu. Unafanya nae kazi anathamini kazi yko na anaivalue kulingana. na yuko fasta kusaidia kwa Hali na mali pale unapokuwa na uhitaji. Ni raha na fahari kufanya kazi na kichwa kama hiki. My sister Mungu akuweke na kama itawapendeza watawala wakuone kwa maslahi mapana ya Taifa hili. Unaweza kulifanyia Jambo taifa letu. Najua unaweza usipende wewe kuwekwa hapa jukwaani Ila uwezo na moyo wako ndio vinafnya na vitfanya usemwe popote kwa mazuri. All the best Dr.
Unamzungumzia yule physician wa Mloganzila?
 
Ni Dr kwa maana ya PhD holder. Stay tune bro. Sio wewe tu bali Taifa litamtambua na utarudi hpa kushuhudia pia
Ana doctorate ya nini na yupo katika kitengo gani ili watu wengine tuelewe pia. Hakuna mantiki ya kuleta jina la mtu kamili kisha udorishie watu hizo info ambazo ni relevant zaidi.
 
Bora abaki huko huko maana wakishateuliwa tu akili zinaruka mifano ipo mingi siasa na weledi wa kazi ni vitu viwili tofauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom