Dr. John Pombe Magufuli & Morgan Tsvangirai Wahudhuria Uzinduzi Kampeni za ODM Kenya

Ben Saanane,

..lakini huyu Magufuli ni MROPOKAJI na muda mrefu wananchi wamekuwa wakimchekea.

..kwa muda mrefu amekuwa akitoa matamshi ya ajabu-ajabu kila anapopata wasaa wa kuzungumza majukwaani.

..sasa tabia yake hiyo ameiendeleza mpaka huko ugenini na kulitia taifa aibu.

..wizara ya mambo ya nje ilipaswa kumuandalia a WRITTEN STATEMENT na kumpa maelekezo kwamba asiseme kitu nje ya statement hiyo.

..je, Balozi wetu Kenya alikuwepo kwenye mkutano huo??

JF idumu milele
 
Back
Top Bottom