Yupo Dar es salaam jiji la maraha! anakula kuku kwa mrija,bia kwa uma(fork), mwakani utamsikia akingurumisha kampeni za kukomboa 'jimbo lake' huko kijijini kwake!
teh teh teh...ndio wanasiasa wa bongo hao...Inaonekana mzee anacheza underground. Huyu mzee ndo Mwenykiti pekee wa upinzani aliyembunge na asiyewasema vibaya wapinzani wenzake. Mrema na Mbatia pia siku hizi wapo kimya sana, wakiibuka kidogo utasikia wanawasema wapinzani enzao siyo shida za Watanzania.
Yupo Dar es salaam jiji la maraha! anakula kuku kwa mrija,bia kwa uma(fork), mwakani utamsikia akingurumisha kampeni za kukomboa 'jimbo lake' huko kijijini kwake!
Michango yake mingi ni fair kwa maslahi yake binafsi, jimbo lake, Wakulima wa pamba popote walipo, wafugaji popote walipo na taifa kwa ujumla.Hakika huyu ndo Mwenyekiti pekee alie hamua kujipimia kipimo chake sahihi na ndo naona wenzake wamemfuata.
Jambo kubwa ni Je Mchango wake ukoje huko bungeni? Kweli anadhihirisha uwenyekiti wake? Tunawakaka viongozi wote wa upinzani kuanzia wenyeviti wakakamate majimbo ili waingie bungeni waonyeshe tofauti na umuhimu wa wapinzani wakuwepo na kuongezeka bungeni na hakutakua na maana yoyote wao kuwepo kama hawaleti impact.