secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,617 Reaction score 44,428 Feb 14, 2026 #41 NoreformNoelection said: Kweli kabisa, Bash3 ni mtu poa sana. Tulisoma wote Oxford Click to expand... Tulianza naye shule ya msingi pale Nanjirinji primary school, alipenda kukaa dawati Moja na Munch wa Annabelle na Intelligent businessman.
NoreformNoelection said: Kweli kabisa, Bash3 ni mtu poa sana. Tulisoma wote Oxford Click to expand... Tulianza naye shule ya msingi pale Nanjirinji primary school, alipenda kukaa dawati Moja na Munch wa Annabelle na Intelligent businessman.
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,940 Feb 14, 2026 #42 Mango833 said: Bashe hafai kuwa waziri mkuu uwazir wa kilimo tu alishindwa ni mtu mwenye Click to expand... Mwizi ; hamkuona ufisadi aliofanya kwenye vibari vya sukari?
Mango833 said: Bashe hafai kuwa waziri mkuu uwazir wa kilimo tu alishindwa ni mtu mwenye Click to expand... Mwizi ; hamkuona ufisadi aliofanya kwenye vibari vya sukari?
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,443 Feb 14, 2026 #43 secretarybird said: Tulianza naye shule ya msingi pale Nanjirinji primary school, alipenda kukaa dawati Moja na Munch wa Annabelle na Intelligent businessman. Click to expand... Bashe alipata ubunge, baada ya kigwangala kuleta ujuaji kule tabora. Ni mzugaji na mpigaji tu, hakuna kitu hapo.
secretarybird said: Tulianza naye shule ya msingi pale Nanjirinji primary school, alipenda kukaa dawati Moja na Munch wa Annabelle na Intelligent businessman. Click to expand... Bashe alipata ubunge, baada ya kigwangala kuleta ujuaji kule tabora. Ni mzugaji na mpigaji tu, hakuna kitu hapo.
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,940 Feb 14, 2026 #44 and 998 others said: Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni. Click to expand... Mmemdharau Samia kiasi kwamba mnadhani ni punguani kila siku awe anafanya kazi ya kutengeneza baraza la mawaziri? Hapo alipo halali akiwaza jinsi ya kujinasua na kitanzi cha ICC, hana muda wa kufanya kazi nyingine za serikali!
and 998 others said: Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni. Click to expand... Mmemdharau Samia kiasi kwamba mnadhani ni punguani kila siku awe anafanya kazi ya kutengeneza baraza la mawaziri? Hapo alipo halali akiwaza jinsi ya kujinasua na kitanzi cha ICC, hana muda wa kufanya kazi nyingine za serikali!
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,617 Reaction score 44,428 Feb 14, 2026 #45 Intelligent businessman said: Bashe alipata ubunge, baada ya kigwangala kuleta ujuaji kule tabora. Ni mzugaji na mpigaji tu, hakuna kitu hapo. Click to expand... Ni mrembo tu yule!
Intelligent businessman said: Bashe alipata ubunge, baada ya kigwangala kuleta ujuaji kule tabora. Ni mzugaji na mpigaji tu, hakuna kitu hapo. Click to expand... Ni mrembo tu yule!
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,565 Reaction score 8,023 Feb 14, 2026 #46 kijereshi said: Ile program yake iliishia wapi au kajitajirisha na kuwaacha vijana wakitapatapa Click to expand... Ile sijui “Better Tomorrow “ waliandaa mashamba hekta 2 kwa bil 17 alafu sasa hivi yale maeneo wamasai wameambiwa wakalishie mbuzi
kijereshi said: Ile program yake iliishia wapi au kajitajirisha na kuwaacha vijana wakitapatapa Click to expand... Ile sijui “Better Tomorrow “ waliandaa mashamba hekta 2 kwa bil 17 alafu sasa hivi yale maeneo wamasai wameambiwa wakalishie mbuzi
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,218 Reaction score 39,698 Feb 17, 2026 Thread starter #47 Mzee wa BBT