Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

Pamoja na kuudhika sana kwa sababu za kipuuzi kutolewa na Phd holder,nasikitika zaidi kwamba dr.Francis Michael Kasavubu ni classmate wangu ambaye tulimtegemea kila mara katika kupigania haki zetu.

dah.. kumbe kuna madr. makanjanja?
 
haa ha haaaa! huyu jamaa(francis) sitaki kuamini kuwa ni doctor.
duh, wakuu mimi nina digree moja tu lakini leo nimeamini namzidi mbali. mama yangu weeeeeeeh!!!!!dr wa udsm, aibu aibu aibu.nimeamini pia msemo wa Dr wangu mmoja alikuwa ananifundisha somo la project human resourses tukiwa darasani akasema kwa uchungu sana "ndugu zangu, walimu wa vyuo tuna taabu sana, haa vyuo vya umma, nenda ud, sua anywhere msituone hivi hali ni mbaya. mimi asilimia 80 ya maisha yangu nayapata mtaani tu" I do realize today kwa hawa madoctor wetu.

But inanipa taabu still, kwani mwakiembe nae ana njaa?, au ndo ushabiki hadi unasahau utu wako na kuaibisha taaluma. Watanzania walimuamini Sitta samwel, yuko wapi baada ya kuahidiwa umakamu wa rais mwaka 2015?

baadae jamani mke wangu ananiita.....nikirudi nitaendelea
 
waliotoa maoni kuhusu haki za wanawake ni chini asilimia moja kwa hiyo tuzikatae haki za wanawake?
 
Nina wasiwasi na wajumbe wengi wanalitumia bunge hilo kwa maslahi yao. Wengi wanamatumaini baada ya kufanya "vizuri" watawala watawaona na kuwatunuku. Dhambi hii ya kuwasaliti watanzania itawatesa milele
 
Inauma sana pale tunaposema tunawasomi wakuweza kutuonesha mwanga wa huko mbele tuendako halafu inakuwa kinyume chake msomi mzima DK,PR. Kuhongwa na kutumia taaluma vibaya ni makosa sana,wasomi wetu walio wengi ni njaa ndo maana wanafikia kuweka taaluma zao mifukoni eti kwa maslahi ya ccm,je tutafika?ifike wakati sasa hawa waanze kushughulikiwa hata kwa kupigwa,ndani ya ccm hakuna mwema,hatuna cha mwekyembe wala wale maprofesa uchwara,mtu kama mwakyembe kama kwasasa anakana yale maandishi aliyoandika ya kutaka serikali tatu leo kwaajili ya kulinda maslahi anayakataa then anajiita mwadilifu,hana maana yeyote kuanzia leo mm nimemzalau na kumpuuza.
 
hawa ma dr wa kipindi hicho ni wachumia tumbo wala taaluma yao haiwasaidii, mwakyembe ameikimbia thiesis yake ya u dr. mwakyembe wakati prof tundu lissu akimsomea findings za research yake anajifanya kunakili kurasa kama hajui kuwa aliandika yeye. wasiwasi wangu ni kuwa labuda alifanyiwa kama wenzake.

umeongea point sana, nahisi hata mimi alifanyiwa. haiwezekani akakana kazi yake, la sivyo thesis yake haikuwa na maana na hakustahili kupewa hiyo digree ya tatu.

kama ni uongo, mbona hakuomba kutoa taarifa na wakati kanuni zinamruhusu?
 
yeye na mwakyembe hawana lolote pamoja na wale maprofesa walioko ndani ya ccm wale wote wameamua kuweka elimu zao mifukono na kwasasa wanatumia makalio katika kufikiri aibu sana,hawa ndo madk. wanao fundisha watoto wetu UDSM.
 
Wanadanganya watu eti mtu kama mwakyembe ni mzalendo wakati hata kauli zake anazikana.shame on you,wasomi wote mnapokuwa ndani ya ccm huwamnalishwa nini mbona uelewa wenu unakuwaga ni mfinyu sana,kweli mmezoea uongo kwahiyo hata siku moja hamuwezi kusema ukweli.ila mnajishushia heshima.
 
Simfahamu vzr huyu jamaaa (Dr. Francis Michael) ila uongeaji wake wa leo umenistua sana eti Dr? Hivi huyu ni Dr wa Wanyama/ Wanadamu au huu wa kukomaa nao ufahamu? Make argumentation yake haiendani Prefix yake!!!
 
Tuwasamehe tu hawa wasomi ni vilema pomoja na elimu zao,sisi wakristo tunaamini kuwa mtume wa yesu Yuda iskariot alimuuza ya baada ya kupata mlungura sembuse hawa wasomi wengi wao na imani haba washindwi kula kidogo kutoka kwa maccm-ccm kama yeye anavyosemaga ''mizumbemizumbe'' dr. f.m
 
If to be educated is to be like Dr. Francis then better I remain a layman!
 
Huyu Jamaa francis kama shule kaenda basi alikuwa hajui na haelewe bali alikuwa ana kalili ili aweze kufauru. Leo ameongea pumba nzito sana mpaka alikuwa ajielewe, sio msomi kabisa ninamashaka naye...
 
Kwani maandishi/msimamo wake ni Msahafu mkuu?...

Ikumbukwe kuwa misimamo/mitazamo ya watu hubadilika pia..

Sidhani kama kitendo cha Prof. Shivji kubadili msimamo wake juu ya muundo wa Muungani ni kwa sababu ya "Mlungula" kama anavyodai Mkuu wangu Mpaka Kieleweke...
Exactly...misimamo hubadilika
 
Mijadala hii isitufanye vipofu kiasi cha kuanza kuwatusi nguli walioifanyia nchi hii makubwa kama Prof Issa Shivji... Huyo Dr Michael et al mnaweza kuwadadavua mtakavyo kwani wanajulikana wengi wao ni ma-opportunist same kwa akina Kigwangala na Mwakyembe... Shivji, Waryoba, Salim nasema Big NO! Hawa wazee wanastahili heshma katika nchi regardless mitazamo yao iko tofauti na ya wengi...
 
Ndugu yetu, Daktari wa Filosofia uliyetumainiwa na wenazako hata ukasimamia Chama cha Magwiji wasomi UDSM (UDASA), yaani ndani ya viatu vya kina Prof Chachage, Leo hii bila hiana, unakacha misimamo wako Wote, unakumbatia misimamo wa watu wengine na kutumia hoja dhaifu kuutetea! Umenishtua sana!

Francis Michael Kasab(v)ubu Ntiriniga
1. Inabidi kufahamu historia yake vizuri. Kuanzia tu akiwa mwanafunzi UD. Alikuwa na tuhuma nyingi sana za ukosefu wa maadili...waliokuwa wazee wa pale miaka hiyo wanakumbuka. Anayeweza kupekua faili lake la uanafunzi anaweza kuleta taarifa zaidi hapa

2. Kwa chuo chenye heshima asingestahili hata kuajiriwa kwa kashfa alizokuwa nazo. Sio mtu wa kuaminika kwenye lolote...sketi, pesa, mawazo, taarifa...Ni mbaguzi, anadharau sana hata kwa wafanyakazi wenzake

3. Hajatumwa na UDAS. Inasemekana alichakachua mchakato wa kupata wajumbe, akajichagua akaenda Dodoma

4. Anawasiliana na Lumumba kwa ukaribu wa ajabu...aliyoyaongea leo sio mapya kwa wanaomfahamu. Ila amejifunua zaidi kwa Watanzania na kuaibisha wenzake

5. Usishangae akapewa nafasi kubwa ... Watu kama yeye ndio wanaopendwa na watawala. Wanafaa kutumika kirahisi. Anatamaa ya madaraka, na anweza kuua mtu ayapate

6. Listi ni ndefu...ongezeeni wengine
 
Sina wasi wasi tupo Tanganyika, hao wenye Tanzania yao wakatafute ardhi ya Tanzania sis Tanganyika yetu tutaitwaa very soon
 
kama shivji kapokea rushwa hawa vidagaa wana ubavu wa kuzikataa hela za mafisadi?wakina mkumbo wananunulika kwa laki mbili,njaa ukiiendekeza unaweza kugeuzwa..beware!
 
Back
Top Bottom