Dr. Emmanuel Nchimbi: Tunataka Rais, hatutaki mfano wa Rais...

Dr. Emmanuel Nchimbi: Tunataka Rais, hatutaki mfano wa Rais...

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Dk Nchimbi: Tumemkubali Dk John Magufuli

Dk Nchimbi akizungumza na gazeti la Mwananchi jana alisema Dk John Magufuli ni mgombea anayeuzika tofauti na wengine na kwamba kambi yao inamuunga mkono katika kukiwezesha chama kuendelea kushika dola.

 
Last edited by a moderator:
Huyu mngoni mwenzangu sijui vipi tena? Mbona anabadilika ghafla hivi? Kwahiyo Lowassa hauziki tena?
 
Bora salama........hivi nilazima hao hao wawe katika safu ya uongozi.kuna wengine wako huko zaidi ya umri wangu ambao ni 52yrs
.GIVE WAY TO OTHERS THEY MIGHT BETTER THAN YOU.
 
mwache tuuuu ahangaike hata ubunge hakuni nao kwa staili hiyoo atapigwa na NEC hadi atajuta jina halirudi
 
Huyu mngoni mwenzangu sijui vipi tena? Mbona anabadilika ghafla hivi? Kwahiyo Lowassa hauziki tena?

Mwenzio anasoma alama za nyakati, kwani hataki kupata ka nafasi tena? Hiyo ndio siasa, haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, unacheck upepo then unagonga kitu sahihi
 
Nchimbi upo sawa, kwanza team lowasa mmehakikisha team Membe & jk hawatobozi 3 bora na kisha mmehakikisha wanawake hawachukui kitu. Hongera Magufuli kwa kuokota dodo chini ya mwarobaini maana haukukwa na ramani yoyote ya ikulu kilichokutokea ni kwamba " kifo cha tembo furaha ya mbwa mwitu"
 
msimsahau na mngoni mwenzenu Hassan Nassor Moyo kule zenji.

inaonekana ukitaka ushindi uwakimbie wangoni . haaa haaa. maana kule nae mzee chali


wana nyimbo yao wanasema nnataka hapo tu nataka hapo tuuu
 
Nakumbuka alisema wamemkata anayekubalika na kuwabeba wasiokubalika...leo kabadilika tena?hatujasahau Nchimbi,usitufanye vishoka!
 
Kumbe na wewe ni mngoni? Basi tupo wangoni wengi humu

mimi pia mngoni.ila mngoni wewe sikukubari kwa sababu ni mwana LI-ccm.n'ndolahi hoti sura yaki yale pa avatari pala,ngeta naniliyu.lol
 
Back
Top Bottom