'Chuki' dhidi ya Nchimbi inahamishiwa mpaka kwa shule..
Objectivity sufuri.
Mwenzenu ngoja nibadili wilaya ya Sikonge na kuifanya wilaya ya EPA na kijiji chetu ntakiita RICHMOND. Jina la kata liwe Lowassa na Mtaa uwe Kingmaker.
Nunda mmoja anpochomoza kwa ujanja ujanja akipata madaraka anawezakutengeneza manunda wengi zaidi wa aina yake.'Chuki' dhidi ya Nchimbi inahamishiwa mpaka kwa shule..
Objectivity sufuri.
Wewe mzazi jaribu kumpa mwanao Jina kama Hasara, Matatizo, Mjinga, Mwizi, Jambazi, Uchuro, Kisasi, etc uone kazi. Huyo mtoto ataathirika kisaikolojia na kuanza kuwa na tabia inayofanana na hiyo laana uliyombatiza. Please, tuinapochagua majina ya watoto, mtaa, shule, kijiji, kata, wilaya, mkoa etc lazima tuwe waangalifu. Imagine wewe umeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au we unatoka kwenye mkoa unaitwa MALAYA, FISADI, MWIZI, je utajisikiaje? Please, kuna haja ya kuaangalia upya jina la shule hii kama kuna ushahidi wa kutosha kuwa Dr. Nchimbi kweli PhD yake haina hadhi hiyo!!!
Hiyo shule ifungwe mara moja na badala yake jengo hilo liwe gereza.
Tunapolaani matendo ya mtu fulani kutokana na ubadhilifu au kudanganya ni kumpa fursa huyo mtu abadilike. Mfungwa hufungwa kwa makosa aliyoyafanya, na akitoka kwenye uraia huanza maisha upya. Nchimbi pamoja na kuwa na hiyo PhD (msemao ya uongo), lakini vilevile ana basic education. In case he can plead and change, I don't see a problem. He is a human being who has committed a mistake, tumpe time; tusiwe na hizi condemnation za "kijihadist". He got a message.Naona objectivity bado sana.
Shule itabaki kuwa shule tu, japo itaitwa Nchimbi et etc. Jina halina correlation na kilichomo. Kuwa na jina 'zuri' hakusaidii lolote kama hakuna vitu vya kuwezesha kuwa shule nzuri, and the converse is a tautology.
Sasa nyie endeleeni kupiga domo.
Huyu Nchimbi amekili mwenyewe pengine bila kujua kuwa muda wote huu akijiita "DR" alikuwa hastahili kuitwa hivyo; yeye amejiandikisha upya Chuo Kikuu cha Mzumbe akisomea huo UDAKTARI!!!. Ndio maana hata vile vitisho vyake vya kwenda mahakamani hakuvitekeleza kwani angeumbuka big time!! Kuwaepusha wanafunzi wasiathirike kisaikolojia ingefaa jina la shule hii libadilishwe na hapo baadae kama ikibidi waiite jina hilo wakipenda mara atakapofanikiwa kuhitimu huo udaktari anaousaka sasa!!