Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masaburi atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Hongera Masabuli kwa ushindi
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Mkuu masabuli mwenyewe anajua anashndwa ubunge ww umezitoa wapi hizi habari? Kwann uiutumie huu muda kwa mambo mengine yenye faida kwako? Kwenye hili unapoteza muda wako bure.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.
sasa we masaburi umeelemewa mpaka unakuja kujipost humu?kweli ww uende bungeni?hivi unawaona wanaubungo ni mabwege sana?subili uone kipigo ndo utajua kwamba watu wana akili kuliko ww.
 
Nilipita mitaa ya Ubungo hali niliyokutana nayo sioni Masaburi akifurukuta hata kidogo sana sana akipata 15% nitashangaa Dar watu wameamua kuikataa CCM na mambo yake.
 
Ilala ndio jimbo pekee litaenda CCM.
Huko kwingine tegemeeni maumivu.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Kabisa kubenea asahau kabisa
 
Sijui mtaambiwaje muelewe. Ubungo ni chadema na chadema ni ubungo

Tatizo la wakati huu ni mgombea aliyeletwa na Chadema. Hafai hafai hafai. Binadamu anayebadilikabadilika kama kinyonga ataaminiwa vipi na watu wenye akili kama wa Ubungo??? Chadema watalikosa jimbo kwa ujinga wao!!!
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CCM anategemewa kupata ushindi mnono kutokana na historia yake kiutendaji, Masabuli atakuwa mstari wa mbele kwa muda mrefu katika kuhakikisha wakazi wa Ubungo wanapata huduma stahiki za kijamii tofauti na hapo awali.

Bwana makalio naona unajitekenya na kucheka
 
ccm watapata viti v2 tu vya ubunge kwa jiji la Dar.
 
Masabuli Juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom