DR Congo: Watu 1,315 wameuawa katika miezi sita ya mwanzo ya 2020

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Taarifa za Umoja wa Mataifa, UN zinasema makundi ya watu wenye silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia Congo wamewaua watu 1,315, idadi ambayo ni kubwa mara tatu ikilinganishwa na mwaka 2019

Taarifa za UN zinasema katika waliuawa wapo watoto 165. Aidha kwa miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2019 watu 416 waliuawa katika mashambulio ya vikundi hivyo

Umoja wa Mataifa unaohusika na Haki za Binadamu, UNJHRO umesema mauaji hayo yametokea kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri katika nchi hiyo

Maeneo ambayo yaliathirika sana na mauaji hayo ni Ituri, Kivu Kusini, Tanganyika na Kivu Kaskazini. Maeneo ya Mashariki ya Congo DR, yamekuwa na mapigano ya mara kwa mara kwa zaidi ya miaka 30

====
More than 1,300 people were killed in the first six months of the year by armed groups in the Democratic Republic of the Congo (DRC), three times more than in the same period in 2019, according to the United Nations.

A report by the UN Joint Human Rights Office (UNJHRO) on Wednesday said fighters of all armed groups were responsible for the summary executions or arbitrary killings of at least 1,315 people, including 165 children, between January and June 2020.

That was more than three times the 416 such deaths recorded in the first half of last year.

The UNJHRO attributed the jump to the "deterioration" in the human rights situation in provinces where conflict is rife, particularly Ituri, South Kivu, Tanganyika and North Kivu.

Eastern DRC has been unstable for nearly 30 years, its population terrorised by dozens of militia groups that are chiefly the legacy of two major wars.

Violence in the gold mining region of Ituri has raged since December 2017. The flare-up has pitched the Hema ethnic group, who are predominantly herders, against the Lendu community, who are mostly sedentary farmers.

The UN has warned that some of the latest attacks could amount to crimes against humanity.

As in Ituri, civilians are caught up in escalating conflicts in the eastern provinces of North and South Kivu and the southeastern province of Tanganyika.

At the end of October 2019, the army launched operations against all armed groups in the eastern part of the country. Despite those offensives, however, the killings of civilians have not ceased.

The UNJHRO report also noted that the number of violations committed by state agents decreased slightly during the first half of the year.

State agents were responsible for 43 percent of documented human rights violations, including the extrajudicial executions of at least 225 people, including 18 children, throughout the DRC, according to the report.

ALJAZEERA
 
Watu wanauawa kinyama na makundi haramu ya wahuni na serikali ipo tu, tena inamiliki jeshi, polisi na idara ya ujasusi huku pia ikisaidiwa na jeshi la UN, isitoshe inaongozwa na kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia..

Africa hii... Mungu atusaidie Sana.
 
Uko sahihi kabisa mkuu, DRC kuna mengi mazuri ili ghasia za huko mashariki zinachafua jina la nchi na kinachoumiza ni ile kuonekana serikali imeshindwa kulinda rai wake wa huko mashariki.
Jitihada zipo Mkuu, Felix natoa Gens wote, kaongeza kasi, changamoto ni nyingi lakini linataisha kama si kupungua kabisa

Hata habari nzuri za Congo muandike, Hahahaha, msitishe sana wakati kuna watu wanawekeza huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanauawa kinyama na makundi haramu ya wahuni na serikali ipo tu, tena inamiliki jeshi,polisi na idara ya ujasusi huku pia ikisaidiwa na jeshi la UN, isitoshe inaongozwa na kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia..

Africa hii...Mungu atusaidie Sana.
Hiyo nchi imeathirika vikubwa na umasikini na ina eneo kubwa Sana kiasi kwamba Kwa bara la Africa ni nchi ya kwanza au ya pili Kwa ukubwa na imejaa Misitu minene mikubwa kweli kweli nchi nzima

Ndio utaona changamoto zake
 
Hahahaha, Huna huwezi wa kufanya lolote ,we soma mada tu
Mahakama ya ICC inajitahidi sana kuwashughulikia hawa wababe wa Vita kama kina Bemba.

Mtu Kama Ntaganda (Terminator) kwa ushawishi aliokuwa nao jeshini na msituni kwa waasi wanaomtii ilikuwa ngumu kuamini Kuna siku angesimama kizimbani kujibu mashtaka maana hata serikali ya Kabila kuna kipindi ilihofia kumkamata kwa kuogopa huenda usalama ungezorota zaidi, hii inaonyesha jinai haina ukomo hata ukwepe vipi ipo siku utanaswa tu.
 
Back
Top Bottom