DR CONGO: Waliofariki kwa Ebola wafikia 200

DR CONGO: Waliofariki kwa Ebola wafikia 200

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
wo12-ebola-WEB.jpeg


Idadi ya waliofariki kwa ugonjwa wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yafikia 200

Nusu ya vifo hivyo vimetokea katika eneo la Beni lililopo Kivu ya Kaskazini

Umoja wa Mataifa umeyataka makundi yenye silaha katika eneo hilo kutokuwa kikwazo cha juhudi za kupambana na Ugonjwa huo

Huu ni mlipuko wa 10 wa Ebola tangu ugonjwa huo uingie nchini DR Congo mnamo mwaka 1976

=====

The death toll from an Ebola outbreak in eastern Democratic Republic of Congo has risen to more than 200, the health ministry said on Saturday.

The ministry said it had recorded 201 deaths from the virus and that 291 cases have been confirmed since the outbreak began in August.

About half of the cases were in Beni, a city of 800,000 people, in the North Kivu region.

The UN's Department of Peacekeeping on Friday called on armed groups active in the region not to hinder efforts to fight the disease.

Teams responsible for responding to the outbreak "have faced threats, physical assaults, repeated destruction of their equipment and kidnapping," Health Minister Oly Ilunga said on Friday.

"Two of our colleagues in the Rapid Response Medical Unit have even lost their lives in an attack," he said.

The outbreak is the tenth in DR Congo since Ebola was first detected there in 1976.

Ebola is a serious infectious disease that can spread rapidly through small amounts of bodily fluid, causing internal bleeding and potentially death.

Since a vaccination programme began on August 8, more than 25,000 people have been inoculated, the health ministry said earlier this month.
 
Poleni sana ndugu zetu ila punguzeni kula popo,nyani na sokwe
 
Nilikwenda kwao hawa jamaa kikazi
Basi jioni nilitafuta chips mayai aah wapi sikupata bhwana ila poleni sana
 
Mungu awape wepesi, lakini pia sisi tujipange just in case huu ugonjwa ukavuka mpaka.
 
Back
Top Bottom